Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

Sijui kama umemuelewa vizuri jamaa alichokimaanisha. Ni hivi kwanini Mungu hakuwaweka watu katika mfumo mmoja wa imani ilihali yeye ndio muweza wa kila kitu? Angalia jinsi watu walivyokuwa kila mtu na imani yake wengine ni waislamu, wengine wakristo, wahindu, n.k. na mimi nauliza swali pia: ni kwanini ianze maisha kwanza halafu dini ndio zimefuata baadae? Mungu alipaswa kwanzia anaumba binadamu angemjenga katika msingi mmoja uliyosahihi kwake kama ni uislamu au ukristo, n.k sio mpaka dini isambae kwa biashara za utumwa na harakati mbali mbali.
Yani unachokisema ni sawa na kusema kuwa kama mungu hayupo sio lazima kila mtu kuwa na uthibitisho wa kutokuwepo kwake,hivyo wengine wanaweza kusema mungu hayupo na wasiwe na uhakika kuwa hayupo(uthibitisho/contradictions) na ikawa sawa tu?
 
Sijui kama umemuelewa vizuri jamaa alichokimaanisha. Ni hivi kwanini Mungu hakuwaweka watu katika mfumo mmoja wa imani ilihali yeye ndio muweza wa kila kitu? Angalia jinsi watu walivyokuwa kila mtu na imani yake wengine ni waislamu, wengine wakristo, wahindu, n.k. na mimi nauliza swali pia: ni kwanini ianze maisha kwanza halafu dini ndio zimefuata baadae? Mungu alipaswa kwanzia anaumba binadamu angemjenga katika msingi mmoja uliyosahihi kwake kama ni uislamu au ukristo, n.k sio mpaka dini isambae kwa biashara za utumwa na harakati mbali mbali.
Huyo Mungu wao wa kutungwa mkuu..cyo biblia cyo Quran zote uongo mtupu
 
Nimeshakwambia eleza wewe maana ya contradiction,maana wewe ndiye uliyeleta hoja ya contradiction na ndiye unaeona mie natofautiana na wewe katika maana ya hilo neno.
Contradiction ni kujipinga.

Mnasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Halafu mnasema, Mungu huyokaumba ulimwengu huu ambao mabaya mengi yanawezekana.

Wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Mungu huyu anajipinga mwenyewe.

Upande mmoja tunaambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Upande mwingine kaumba ulimwengu ambao mabaya mengi yanawezekana hata kama alikuwa na uwezowa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Mungu huyu anajipinga.

Kwa nini?
 
Mambo mengine akili yako haiwezi kuyathibitisha. Lakini yapo
Sawa.

Na mambo mengine akili yangu haiwezikuyathibitisha.Lakini hayapo.

Kwa hiyokushindwa kuthibitisha kitu hakuthibitishi kwamba kipo au hakipo.

Kitu pekee kinachothibitisha kitu kipo ni uthibitisho kwamba kipo.

Kwahiyo, hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.

Zaidi ya hapo, dhana ya Mungu wako kuwapo inajipinga.

Kwa sababu hayupo.
 
Sijui kama umemuelewa vizuri jamaa alichokimaanisha. Ni hivi kwanini Mungu hakuwaweka watu katika mfumo mmoja wa imani ilihali yeye ndio muweza wa kila kitu? Angalia jinsi watu walivyokuwa kila mtu na imani yake wengine ni waislamu, wengine wakristo, wahindu, n.k. na mimi nauliza swali pia: ni kwanini ianze maisha kwanza halafu dini ndio zimefuata baadae? Mungu alipaswa kwanzia anaumba binadamu angemjenga katika msingi mmoja uliyosahihi kwake kama ni uislamu au ukristo, n.k sio mpaka dini isambae kwa biashara za utumwa na harakati mbali mbali.
Ukichunguza sana utaona mambo yako hivyokwa sababu huyo Mungu hayupo.

Katungwa na kuungwa ungwa tu na watu.
 
Contradiction ni kujipinga.

Mnasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Halafu mnasema, Mungu huyokaumba ulimwengu huu ambao mabaya mengi yanawezekana.

Wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Mungu huyu anajipinga mwenyewe.

Upande mmoja tunaambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Upande mwingine kaumba ulimwengu ambao mabaya mengi yanawezekana hata kama alikuwa na uwezowa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Mungu huyu anajipinga.

Kwa nini?
Kitu ambacho kinacho nifikirisha zaidi ni pale vizazi kuanzishwa na Adam na Hawa halafu Watu wanakatazwa kuoana ndugu kwa ndugu lakini cha ajabu Mungu huyo huyo aliwaumba watu wawili pekee hapo mwanzo bila shaka huyu Adam na Hawa wakazaa watoto, na watoto hawa walioana pia ndugu kwa ndugu na kutengeneza vizazi kwa vizazi.
 
Contradictions kila mahali zinaonyesha huyu Mungu katungwa tu na watu.

Tena watu wasiojua vizuri logic.
 
Tukio la kuwepo kwangu nikiwa na umbo maalumu lilisanifiwa vizuri.Nina milango ya fahamu ambayo imetengenezwa kwa mfumo wa ajabu na inafanya kazi kwa namna ya pekee.Umbo langu lenyewe limetengenezwa kwa materials za hali ya juu.Mifumo yote ya mwili kuanzia dygestive system,blood system,nervous system nk imepangiliwa kwa ustadi wa hali ya juu kiasi cha kunipa imani juu ya nguvu ya aliyeunda mifumo hii.Ningekuwa sijaumbwa mimi nadhani nisingekuwa na umbo maalum zaidi ya kuwa na irregular shape.God Is Great..

Mkuu unaonekana umejaaliwa sana
 
Maisha ya binadamu Kwa kujumla yanategemea kila kitu lazima kufanya hakuna jambo chini ya jua ambalo Bila kulifanya mfumo wa kufanya kazi kama binadamu unafanya kazi ili kitu kiwe na Kuna usemi Unasema Mungu ametuumba Kwa mfano wake Kwan hata haya tunayoyaona kama mbingu na ardhi kuna mtu aliyafanyia kazi ambae ni Mungu Kwa hyo ndio maana naamini Mungu yupo Kwan bila kufanya kazi huwezi kufanya lolote
 
Hapo kwenye nyekundu nimekuona bado imani yako ina mkanganyiko hata huelewi unachokiamini. Yaani mtu halafu Mungu!!!
 
Sijui kama umemuelewa vizuri jamaa alichokimaanisha. Ni hivi kwanini Mungu hakuwaweka watu katika mfumo mmoja wa imani ilihali yeye ndio muweza wa kila kitu? Angalia jinsi watu walivyokuwa kila mtu na imani yake wengine ni waislamu, wengine wakristo, wahindu, n.k. na mimi nauliza swali pia: ni kwanini ianze maisha kwanza halafu dini ndio zimefuata baadae? Mungu alipaswa kwanzia anaumba binadamu angemjenga katika msingi mmoja uliyosahihi kwake kama ni uislamu au ukristo, n.k sio mpaka dini isambae kwa biashara za utumwa na harakati mbali mbali.
Suala la uwepo wa mungu ni la imani na ndiyo maana kuna wenye kuamini na wasioamini,na ndiyo maana vitabu vinaeleza malipo ya wataoamini na wataokataa kuamini. Mpaka hapo utaona ya kuwa si kwamba mungu alikosea au anashindwa kufanya watu wote wakubali mungu na wawe dini moja.

Na swali la pili...mungu alishaweka taratibu zake toka mwanzo huko na ndiyo maana kumekuwa na mitume ambao walikuwa wakiletwa kuwakumbusha watu kila pale watu wanapokuwa wameacha kufuata taratibu ambazo mungu anazitaka.

Kama bado sijaeleweka utaniambia mkuu.
 
Kitu ambacho kinacho nifikirisha zaidi ni pale vizazi kuanzishwa na Adam na Hawa halafu Watu wanakatazwa kuoana ndugu kwa ndugu lakini cha ajabu Mungu huyo huyo aliwaumba watu wawili pekee hapo mwanzo bila shaka huyu Adam na Hawa wakazaa watoto, na watoto hawa walioana pia ndugu kwa ndugu na kutengeneza vizazi kwa vizazi.
Hapo cha ajabu ni kipi mkuu?
 
Kabla sijakujibu hilo swali nikuulize kwamba, ni kwanini unahisi hayo uliyo orodhesha hapo ni makosa ya Mungu?

Mungu ni mjuzi wa yote na ni mwenye mapenzi mema kwa viumbe vyake na pia ametuumba sisi kwa mfano wake na ndio maana kila binadamu ana uungu ndani yake ukiwemo wewe, kwa hiyo sifa kuu za binadamu ni reflection ya zile zilizopo kwa Mungu.

Hivyo unaweza ukaona wewe pamoja na upendo ulionao kwa mwanao lakini kuna muda ana kuudhi na kukupata hasira kiasi cha wewe kumuadhibu....vile vile pia hata kwa Mungu hapo awali hatukuwa na haya madhoruba yote yanayotutesa, ila yalikuja kutokea baada ya kizazi cha awali kwenda kinyume na maagizo yake, lakini madhoruba hayo tunaweza kuyaepuka kwa kuvuka mitihani kadhaa aliyotupa ambayo ni kuongeza ukaribu na yeye na kutumia maarifa tuliyonayo.
binadamu anashindwa kuelewa kwamba maswali anayojiuliza ndio chembe ya hekima aliyopewa na mungu ili ajitambue. je cheche moja kutoka kwenye moto mkubwa inaweza kuulezea maana ya huo moto mkubwa
 
Contradiction ni kujipinga.

Mnasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Halafu mnasema, Mungu huyokaumba ulimwengu huu ambao mabaya mengi yanawezekana.

Wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Mungu huyu anajipinga mwenyewe.

Upande mmoja tunaambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Upande mwingine kaumba ulimwengu ambao mabaya mengi yanawezekana hata kama alikuwa na uwezowa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Mungu huyu anajipinga.

Kwa nini?
Haya baada ya hayo maelezo lipi linahitimisha kuwa mungu hayupo?
 
MUNGU YUPO. FULL STOP. UAMINI USIAMINI KUWEPO TUKIO AU LISIWEPO HAKUBADILISHI UKWELI KUWA YUPO.
HEBU ANGALIENI AINA YA THREAD ZA KUWEKA HAP
 
Unarudia yale ya siku zote,tumia elimu/sayansi kuthibitisha bila ya shaka kuwa hakuna mungu na si kuishia kutoa mitizamo yako inayokufanya useme hakuna mungu maana hata wanaoamini mungu pia wana mitazamo yao inayowafanya waamini mungu.

Sasa wewe njoo tofauti kwa kuja na kututhibitishia kuwa hakuna mungu,kama huwezi basi huna uhakika kuwa hakuna mungu.
kama wanasayansi miaka ya hivi karibuni wamevumbua kifaa ambacho wanatumia kwenye mikutano ya kimataifa, anaetoa hotuba anaongea kwa lugha yake lakini wasikilizaji katika headphone zao kila mtu anapokea katika lugha yake, hujiulizi endapo binadamu amefanya hili karne ya 21, je si mungu anawataarifu waja wake kwamba bado hamjajua chochote ? kwa sababu yeye alishatumia hiyo teknologia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa watu wake kueneza neno lake ? kupitia kunena kwa lugha ? tena bila mitambo yoyote ?
 
Haya baada ya hayo maelezo lipi linahitimisha kuwa mungu hayupo?
Mengi tu.

Hata hilo swali la kwamba lipi linahitimisha kwamba Mungu hayupo linahitimisha kwamba hayupo.

Kwa sababu angekuwepo ingekuwa dhahiri kwa wote kiasi kwamba kusingekuwa na swali.
 
Back
Top Bottom