Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,560
That is a logical non sequitur.Kifo kwangu ni uwepo wa Mungu kwani hata uwe na akili vipi hupingani nacho. Hii inaonesha yupo Mungu mwenye uwezo juu ya vyote na wote.
Unajuaje kifo kinahusiana na uwepo wa Mungu na si The Second Law of Thermodynamics tu?
Zaidi ya hapo, kifo kinaonyesha Mungu hayupo, hakionyeshi Mungu yupo.
Kifo kinatenganisha watu wanaopendana. Hatukipendi.
Mungu wenu mnasema ana upendo wote.
Kwa nini kaumba ulimwengu ambao kifo kinaweza kutenganisha watu wanaopendana kama alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na kifo kinachotenganisha watu wanaopendana?