Tukio gani baya au zuri ulilolifanya ukiwa mtoto na unalikumbuka mpaka leo?

geraldincredible

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
2,036
7,220
Wadau nina swali


Ni tukio gani ulishawahi kulifanya ukiwa mtoto mpaka leo ukikumbuka unatabasamu liwe baya au zuri kivyovyote...

Upande wangu mimi
Tukio zuri ni kufaulu mtihani wa darasa la nne aisee nilifurahi sikumbuki kama nimewahi kufurahi vile.

Tukio baya nilikutwa na baba na mama nafanya matusi na mtoto wa jirani sebuleni kwetu nilikua na miaka 12 hivi aisee kila nikikumbuka nakosa amani. Kiasi nikienda kumtembelea bi mkubwa natamani kumuuliza kama anakumbuka...


Vipi kwenu wakuu tunaweza share kwa pamoja..
 
Maisha yangu yamejaa matukio mazuri tu!!!

Tukio baya ni siri kati ya Mungu, mimi, mdogo wangu na cousin yangu... Its too bad to share
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom