Tukio au hali ya maisha gani ya maisha ambayo usingependa ijitokee tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukio au hali ya maisha gani ya maisha ambayo usingependa ijitokee tena?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sawabho, Nov 24, 2011.

 1. s

  sawabho JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Katika maisha yako kuna matukio au hali ya maisha mbaya ambayo umewahi kukutana nayo wewe binafsi au kushuhudia kwa jirani, ndugu au nchi yako. Kwa kuwa tunajifunza kutokana na makosa, Je, ni tukio gani au hali ya maisha ambayo usingependa ijirudie tena katika maisha, jirani, ndugu au nchi yako?
  Naanaza mimi:

  1. Vita baina ya nchi yoyote jirani yangu kama ile ya mwaka 1978 baina ya Tanzania na Uganda
  2. Hali ya ukosefu wa bidhaa muhimu kama vile sukari na sabuni katika miaka ya 80.
  3. Ajali ya MV Bakoba
  4. ...................................
  5. ...................................
   
Loading...