Tukio ambalo limewahi kukukuta ila ni funzo kwa wengine

Mwatulole

Member
Oct 16, 2017
54
191
Kuna mambo mbali mbali ambayo yamewahi kutukuta ila ukilielezea Hilo tukio linakuwa ni funzo kwa wengine ili lisi wakute na kama likikukuta utumie njia zipi kulitatua hebu tushirikishe kipi kimewahi kukuta na sisi tufanye nini kisitukute.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom