Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 784
- 2,061
Kuna dogo kavumbua hii teknolojia..walimuhoji clouds ktk kipind cha xxl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Congrats to himkuna dogo kavumbua hii teknolojia..walimuhoji clouds ktk kipind cha xxl
This is Implementable Mkuu; Inahitaji Smart Meter tuu baasi.Is this fissible and implementable?
Hiyo sio ngeni ndugu.mi toka nifahau hii ni zaidi ya miaka 5.kuna jamaa yetu alienda mpaka kwa waziri kwa ajili ya inshu iyo, lakini mwisho wa siku alipewa majibu yasiyoelewekakuna dogo kavumbua hii teknolojia..walimuhoji clouds ktk kipind cha xxl
KabisaaWazo bora sana la mwaka
Duuuuuuh noma sanaHiyo sio ngeni ndugu.mi toka nifahau hii ni zaidi ya miaka 5.kuna jamaa yetu alienda mpaka kwa waziri kwa ajili ya inshu iyo, lakini mwisho wa siku alipewa majibu yasiyoeleweka
How was he able to access TANESCO'S computers and servers?@kuna jamaa yetu alienda mpaka kwa waziri kwa ajili ya inshu iyo, lakini mwisho wa siku alipewa majibu yasiyoeleweka
Tanesco ndio watatekeleza mradi.Unalipia umeme ,computer za tanesco zinawasiliana na smart mita kupitia mfumo wa mawasiliano mfano wireless link.How was he able to access TANESCO'S computers and servers?@
Kila kukicha tunazidi uvivu. Kubonyeza mita kujaza umeme nayo kero.
m0aka nimechekaumeelewa kilichoandikwa kweli?
Ni system tu ndugu.kila kitu kinawezekana kasoro tu kurudisha roho ya mwanadamuHow was he able to access TANESCO'S computers and servers?@