Tukimbile Wapi Jamani....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukimbile Wapi Jamani....?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maishapopote, Jun 29, 2011.

 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Kama mwanadamu hapa duniani nina matatizo kama watu wengine wengi tu.....na najaribu kupambana nayo kama wanavyofanya wenzangu,
  na yanaweza kuwa matatizo ya kimwili,au kiroho haya ya kimwili mara nyingi yanakuwa na solutions zake zinazojulikana na ni rahisi tu kuzifuata,
  ila za kiroho zina solutions zake:
  Ninajiuliza maswali na sipati jibu kwenye maswala haya<
  • Ukiwa na tatizo la kiroho uende wapi? Viongozi wetu wa kiroho ndo wamekua Waongo,wengine wazinzi na wengine wanafanya dini kama biashara(Mifano ipo mingi tu-tena sasa hivi wanatuhumiana na kurushiana maneno)-je tuendelee kuwasikiliza? au tuwapotezee...tusali wenyewe nyumbani?yaani bila kuwa na mediator katikati?-Tatizo hili ni kwa dini zote zilizoko Tanzania...
  • Ukisema uende kwa waganga,dini hazituruhusu lakini pia nafsi inasuta na wengine hawajalelewa hivyo,pia sio ustaarabu wa siku hizi...ila kwa wanaokwenda kwa waganga wanafahamu kabisa waganga asilimia 90 leo hii ni matapeli waongo au si waganga wenye uwezo wa kutibu wao ni kuloga tu(Hili niliambiwa mtu ambae ameshawatumia sana hawa jamaakwenye maisha Yake)
  • My Question wadau tufanyeje??? Tuendelee kusali kwenye Nyumba zetu za ibada bila ya kuwasikiliza viongozi wetu wa kiroho? au?
  Nawakilisha!!!
   
 2. M

  MKWELIMAN Senior Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  naushauri......... ni vizuri uka meditate na usali home kwako ukiwa wewe au pamoja na jamaa au ndugu kwa mda angalau dakika 20 minimum kila siku hapo ndipo roho yako itakuwa nyeupe na nyepesi................ viongozi wa siku hizi ni uongo mtupu.
   
 3. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu lkn si wansema palipo mkusanyiko na Mungu yupo ukiwa peke yako itakuaje
   
 4. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nlifungua nikafikiri kuna vita huko ulipo!Pakukimbilia ni pale unapo pata faraja.Hilo la pili kuhusu waganga ungefafanua ni waganga gani kwako unao waona wapo sawa?Maana nimesoma kua nchi nyingi sasa utabibu uwe wa kiroho,kimwili,kiakili inategemea na mtaalam maadili yake.Si kila mtaalam anaweza kuwa sawa. Na jambo hilo ndio linapelekea kukosekana uadilifu katika jamii husika...ambayo ina changiwa na ugumu mkubwa wa hali ya uchumi. Sijafaham upo nchi gani?
   
 5. s

  sha Senior Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  KAMA UPO SERIOUS NA UNAMAANISHA NA UNA KUSUDI LA KWELI MOYONI MWAKO KUMCHA MUNGU,NJOO FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP CHURCH ( KWA KAKOBE ) MWENGE AU POPOTE ULIPO LINAPOPATIKANA KANISA HILO, UTAJUA KWELI YA MUNGU INAYOFUNDISHWA NA KUHUBIRIWA NA KANISA HILO NA UTAPATA KUMJUA MTUMISHI WA KWELI WA MUNGU, MWANADAMU AMBAYE AMEJIKANA NAFSI YAKE KWA AJILI YA INJILI YA KWELI YA KRISTO YESU.ACHA KUSIKILIZA MANENO YA WATU WALIOSHINDWA KUISHI MAISHA MATAKATIFU YANAYOFUNDISHWA HAPO. ukipenda ni pm.
   
Loading...