Heri wapatanishi kwa kuwa wao wataitwa Waana wa Mungu. Nimejaribu tu kunukuu maneno ktk Biblia Takatifu.
Najaribu kukumbuka tu chanzo cha vita ya Misri taifa kubwa na la pekee ktk historia ya dunia yetu. Au vita vya Syria, vyanzo vyake mpaka Leo kila mtu vinamshangaza. Mpaka Leo dunia nzima haiamini kilichotokea. Na mpaka sasa dunia viongozi wakuu wanajaribu kuwaambia wanaopigana, basi jamani imetosha lakini hakuna anayewasikia tena.
Tukumbuke Mungu ni mmoja aliyeumba dunia yote na vyote vinavyoijaza dunia, Na nijuavyo Mimi ili Mungu afanye jambo au kuadhibu huwa ana mbinu nyingi ili nyie wenyewe muwe chanzo. Mungu hanaga lawama hata Siku moja. Kwa sababu unaambiwa yeye ndiye mwema peke yake. Trust.
Sina nia ya kumfunza yeyote Biblia, lakini hakuna asiyejua alichokifanya kwa makusudi mpaka mfalme aliyekuwa wa misri akamruhusu musa aka ondoka na watu wake. Lakini mpaka Musa anakubaliwa kuondoka misri na watu wake hakika Yule mfalme alishaona kila rangi ya aina.
Kwa yanayoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu Tanzania, ni dhahiri Mungu Ana mpango wake. Maana mpaka sasa watawala kuwa na roho ngumu ya kujifanya hawajui kitakachotokea wakati wamekianzisha wenyewe, ni dhahiri kuna Mkono wa Mungu ili Miyoyo Yao iwe ya chuma.
Ushauri wangu, Mashehe wakuu kardinali Maaskofu, maraisi wastaafu, Viongozi wa vyama vyote,Wazee wenye busara na wote wenye mapenzi mema na nchi hii, ni Muda sasa Muingilie Kati na uwepo Muafaka wa kitaifa. Ili tuondokane na sintofahamu hii. Hakika ichafukapo nchi hakuna atakayebaki salama. Mungu ibariki Tanzania