Tukifanya haya tutaboresha elimu yetu

Sima70

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
421
309
Kama mdau mkubwa wa elimu, naona mambo haya yataboresha elimu yetu

1. Vyumba vya madarasa vya kutosha

2. Madawati ya kutosha (tuna misitu mingi sana)

3. Maabara oa vifaa vya kutosha

4. Vitabu vyenye sifa katika ngazi husika

5. Mtaala na sera yetu kama taifa kuhusu elimu

6. Viwanja vya michezo mashulen

7. Walimu wa kutosha na walio hitimu mafunzo ya ualimu

8. Nyumba bora za walimu

9. Maslahi bora kwa walimu zikiwemo semina na motisha mbalimbali

10. Serikali igharamie elimu kupitia rasilimali zilizopo nchini

11. Wizara ya elimu na taasisi zake zisiongozwe na wanasiasa



Kwa haya naamin tutaboresha elimu yetu

Nawasilisha na ninaomba kama huna cha kuchangia usilete kejeri au matusi hapa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom