Tukielekea Makwetu.....

Hili ndio geto langu huku bush

Nyumba-anayoishi-Mchungaji-Masapile-kijijini-kwake-1024x768.jpg

Hapa ukiwa mjini mwenyewe suti kubwa na unajisifu nina toyota harrier, simu ya bei mbaya, umepenga sinza sijui nyumba nzima. huu ndo wakati wa kuumbuka. Hapa ukiwa na yule waifu wako duu kesho lazima muage kurudi mujini.
 
Aloo umeua
 
Back
Top Bottom