Je yatatimia? au
Logician
Junior Member
Join Date
Fri Nov 2010
Posts
1
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power
0
Oops what, nini, vipi, mbona kizunguzungu
Itimie nini? Mbona alisema uchaguZi hautakuwepo mwaka huu na umekuwepo? Mbona alisema atakayeshindana na KJ atakufa? Na hakufa mtu? Haya mambo ya ramli tuwaachie wenyewe it wastage of time kuyajadili.
Je yatatimia? au
nafikiri tatizo la watanzania ni kwamba wanaamini utabiri zaidi kuliko hali halisi. muhimu ni kutimiza wajibu na wala si kutegemea utabiri wa kina shehe yahayaKumbe wanao amini waganga wa kienyeji wako wengi!