Tukiambiwa maji ya bwawa la mtera ni dawa ya magonjwa sugu?gov itabariki?

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
Jee patokea askofu akasema ameoteshwa kwamba maji ya bwawa la mtera kuwa ni dawa ya magonjwa kama malaria. Kichomi, presha, ukimwi na magonjwa mengine gov itabariki?
 
Kwa serikali tuliyonayo gov.itaridhia na kutoa ulinzi na usimamizi jinsi ya kuchota haya maji.this is the only goverment that suports a crazy MYTH like the one in loliondo.
 
Kwa serikali tuliyonayo gov.itaridhia na kutoa ulinzi na usimamizi jinsi ya kuchota haya maji.this is the only goverment that suports a crazy MYTH like the one in loliondo.

sheikh yahaya gave our prezdaa JK defence and we can call it MYTH.
 
Kwa serikali tuliyonayo gov.itaridhia na kutoa ulinzi na usimamizi jinsi ya kuchota haya maji.this is the only goverment that suports a crazy MYTH like the one in loliondo.
 
Jee patokea askofu akasema ameoteshwa kwamba maji ya bwawa la mtera kuwa ni dawa ya magonjwa kama malaria. Kichomi, presha, ukimwi na magonjwa mengine gov itabariki?

Expart muhogomchungu umeniacha hapa kimantiki. Tatizo ni ASKOFU na SERIKALI, ama MYTH in MAGONJWA na MAJI YA MTERA
 
Wana JF, hebu tuache ushabiki katika suala hili na mchungaji wa Loliondo na tuende katika uhalisia wa suala zima, tuache kulaumu kila kitu kinachotokea nchi hii......

Hebu niulize leo hii ni waganga wa jadi wangapi wameweka vibao sasa hivi kila kituo cha basi wakisema wabatibu magonjwa sugu, na watu wamekuwa wakienda huko kila siku, na watu tumekaa kimya bila kulaumu, kwa sababu tunaamini atakayesoma, akaamini, ataenda kwa uamuzi wake yeye mwenyewe, ni vile tu kwasababu waganga hao hawajatoa matokeo ya uponyaji wa kweli utakaowapelekea watu wawaamini na waende. (je? tumejiuliza waganga hao wanatumia nini katika kutibu? tumefuatilia kujua ni vizuri au vibaya?)

Suala la huyu Mchungaji, ni kitu rahisi sana, tena bora hao waganga wanatangaza, lakini yeye amekuwa akifanya shughuli hizi for more than 1 yea, watu walioponya wametoa ushuhuda kwa wengine ndio maana nasi tumesikia na kupeleka ndugu zetu, tunathibitisha wamepona kutokana na imani ile iliyotupeleka.

Hivyo, anayeenda Loliondo ni mtu aliyesikia dawa hiyo, utaratibu unaotolewa, akapata ushuhuda wa watu, akaamini, na akaamua kwenda kwa imani yake yeye mwenyewe,,,,, mtu pekee wa kulaumiwa hapo ni mgonywa anayeenda, sio babu wala serukali maana hazijawatuma wagonjwa waende huko.

Hebu tuache ushabiki wa kisiasa kwenye masuala ya imani, imani ni HAKIKA YA MAMBO YASIYOONEKANA, kama ambayo wakristo wanaamini katika Yesu, na waisilamu katika Mtume Mohammad na yale yanayofundihwa na dini zao, ni kwa hiyari yao wanaamini na watalipa madhara ya kuamini kwao mazuri na mabaya yatakayotokea.

Tufikie mahali tukubaliane na ukweli wa uhalisia na tuache kuilaumu serikali na watu wasio na makosa,,,,, as usual katika kusanyiko la watu wa loliondo, the only thing serikali inachoweza kufanya ni kuhakikisha usalama wa watu waliopo pale unakuwepo, kama ilivyo kawaida na wajibu wao popote pale kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu, kulinda amani regadless ni mkusanyiko gani.......
 
Back
Top Bottom