Tukiacha unafiki, hadi leo utawala huu umeifanyia nini Tanzania?! Umewasaidia nini watanzania!?

AFYA:
Muhimbili imeboreshwa
Wagonjwa wanakwenda kutibiwa nje hada vigogo wamepungua
CT SCAN Zinapiga kazi
Hospitali yaMlongazila imeanza kazi
Huduma ya dialysis kuanza kutolewa Mlonganzila
Huduma za Tiba ya mionzi kutolewa kwenye hospitali za kanda
Hospitali za mikoa zimepandishwa hadhi
Ujenzi wa Theatre kwenye vituo vya Afya umepamba moto
Bajeti ya dawa imepaa kutoka bilioni 20+ hadi bilioni 200+
MSD inaagiza dawa kutoka kwa Manufacturers na sio wapiga dili
Upatikanaji wa dawa muhimu ni zaidi ya 80%
Coverage ya BIMA ya afya kwa wote inaendelea vyema refer Toto Afya cards n.k
Kitengo cha kupambana na Majanga kimeboreshwa
Matukio ya ubakaji na uonevu wa kijinsia yanapungua
Albino wapo salama
Viwanda vya dawa vinajengwa

........UNATAJA NIENDELEE.....?TUSIKIMBIANE HAPA!
kila siku naamini wewe ni mjinga.
haya uliyoandika yapo dar tena muhimbili tu.tanzania ni kubwa na nina uhakika weww hata kibaha hujawahi kulala.
umeambiwa taja mambo yaliyofanyika unataja mlonganzila? huna aibu? ilianza kujengwa lini? huna aibu yule mkuu wa wilaya ya muheza alikuwa anazungusha bakuli juzi la nini? wilaya nzima ya muheza ina kituo cha afya kimoja. kuwa na aibu wewe kuna hospitali za wilaya hata mortuary hazina mfano mafia. kuwa na aibu mkuu upatikanaji wa dawa uko wapi mbona maduka ya dawa yanazidi kuongezeka nje ya hizo hospital zenu? kuwa na aibu juzi nilimpeleka kijana wangu hoapital lugalo usiku nikauziwa dicloper kwenye mkoba hizo dawa ziko wapi? kituo cha afya sinza hakina hata standby generator sasa hata kama kimepandishwa hadhi yasaidia nini?
saa nyingine ficha usaha wako kichwani mkuu.
 
kata
VIWANDA:
Hadi sasa ni viwanda zaidi ya 3000 vimeanza kazi
Haipiti Mwezi Magufuli lazima apite mkoa flani kuzindua kiwanda...
Kama una muda pita SIDO wakakupe takwimu za viwanda vidogovidogo na uhitaji wa mashine mbalimbali.
karakana unaita kiwanda .kama kuna viwanda mbona hatuuzi nje sasa? mbona watu hawaajiriwi vijana wanashinda kwenye betting centres
 
um
UTALII:
Tuliongeza VAT wapiga dili mkatukana sana na mkaja na mikwara yenu mbuzi eti watalii watapungua .....bullshit....sasa watalii na mapato ya utalii yanedouble.
Ujangili wa Tembo umepungua
Majangili wamekamatwa na kuhukumiwa
Mali za Wizara ya maliasili zinarudishwa
...............

Niendelee au umechoka?
umeongeza VAT wazungu hawaji wanaenda kwingine mwaka jana kwenye season watalii zaidi ya 8000 walikatisha safar zao. unajua mtalii mmoja angeingiza pesa za kigeni shiling ngapi? wewe jitekenye tu
 
AFYA:
Muhimbili imeboreshwa
Wagonjwa wanakwenda kutibiwa nje hada vigogo wamepungua
CT SCAN Zinapiga kazi
Hospitali yaMlongazila imeanza kazi
Huduma ya dialysis kuanza kutolewa Mlonganzila
Huduma za Tiba ya mionzi kutolewa kwenye hospitali za kanda
Hospitali za mikoa zimepandishwa hadhi
Ujenzi wa Theatre kwenye vituo vya Afya umepamba moto
Bajeti ya dawa imepaa kutoka bilioni 20+ hadi bilioni 200+
MSD inaagiza dawa kutoka kwa Manufacturers na sio wapiga dili
Upatikanaji wa dawa muhimu ni zaidi ya 80%
Coverage ya BIMA ya afya kwa wote inaendelea vyema refer Toto Afya cards n.k
Kitengo cha kupambana na Majanga kimeboreshwa
Matukio ya ubakaji na uonevu wa kijinsia yanapungua
Albino wapo salama
Viwanda vya dawa vinajengwa

........UNATAJA NIENDELEE.....?TUSIKIMBIANE HAPA!
Kwenye afya ni bora ungekaa kimya. Kwasababu Mosi, umeaacha kuzungumzia mambo ya maana kama Maternal morality, perinatal death na infant mortality badala yake unaabdika none sense hapa.
Pili, Uhaba wa vifaa tiba bado ni tatizo katika vituo vya afya na hospital za serikali, si ajabu kukosa vitu vidogovidogo kama syringes na gloves
Tatu, Vituo vya afya na hospitali za serikali ukiachilia mbali uhaba wa wauguzi na madaktari bado hata wengi waliopo hawana mafunzo toshelevu au mafunzo stahiki. Wengi ni wababaishaji kwa sababu wamewekwa kwenye nafasi ambazo hawakustahili, wanatumia trial and error. Kwa mfano ukiangalia Mtaala wa uuguzi, Muuguzi wa cheti (enrolled nurse) hufundishwa kumanage normal labour peke yake, abnormal labour tunawafundisha kumuandaa mama kwa referral. Sasa maajabu ya serikali inawaajiri hawa na inawapeleka hospitali za mikoa na shift anaingia yeye na medical attendant (ambaye si nurse)! Halafu mnataka eti muujiza utokee maternal deaths zipungue!!
Nne, Nurse patient ratio na doctor patient ratio ni kubwa mno! Mimi ninashangaa kwa nini wauguzi bado wanaendelea na kazi, sijui ni umasikini wao na familia zao. Nimebahatika kutembealea na kufanya kazi katika hospitali, vyuo na vituo vya afya tofauti tofauti, miongoni mwao vipo vya serikali na vya kanisa. Nilichojifunza ni kwamba matatizo ya vituo vya afya na hospitali za serikali yanafanana kote. Katika kituo kimoja nilikuta kazi wanazofanya manesi wanne na medical attendant wawili hospitali nilotoka, wao atafanya nurse mmoja au wawili!!! Kwa nini watu wasife??
Tano, sababu ya baadhi ya referrals ni za ajabu. Ati mama anakuwa reffered kwenda hospitali ya wilaya kisa ultrasound!!! Yaani unampandisha mama kwenye ambulance hadi hospitali ya wilaya kisa ultrasound!! Mmeweza kununua ambulance lakini kipimo kama ultrasound mmeshindwa hadi muingize siasa!!!
Sita, ile mishahara kuanzia Medical doctor hadi enrolled nurse inasikitisha! Ninashangaa kwa nini bado wanaendelea na kazi na wako comfortable kabisa.
Mwisho, ingawa serikali hii imeonyesha madhaifu mengi lakini kuna baadhi ya mazuri mh magufuli anastahili pongezi kwa upande wa kudhibiti upiga dili MSD na idara zingine.
Mwisho kabisa. Serikali haijawa serious na afya za watanzania thus why wao wanaenda India, ujerumani, Nairobi, South Africa, Ubelgiji na kwingine.
 
asante. umemaliza mkuu. kuna watu humu wanadhani tanzania ni dar tu.
 
MADINI:
Makinikia yamepigwa kabali
Almasi zimekamatwa
Sheria za kusomamia Rasilimali zimebadilishwa kwa manufaa ya nchi
Mererani imepata ukuta ndani ya miezi minne
Mauzo ya Tanzanite yamepaa kwa jina la TZ
Gulio la Tanzanite linafanyika Mererani
Mwezi wa Sita tunasubiri mzigo kutoka Barrick huku majadiliano ya kodi yetu yakiendelea..
.........

UNAULIZA SERIKALI IMEFANYA NINI.....HAHAHA....ENDELEA KUFUATILIA NA NI HAKI YAKO KUULIZA ILA UNAWAJIBIKA KUFUATILIA NA KUWA MKWELI
Tatizo wengi tumekalia ushabiki na siasa za zilizo pitwa na wakati badala ya kuwa wakweli. Huyu kiongozi tutamwelewa tu.. Tumpe nafasi... Mabadiliko chamya hayaji siku moja. Tembeleeni nchi nyingine ( hasa majirani) kisha ndo mtajua tulipo na tunapo elekea.
 
Imeruhusu wanyonge kuuza bidhaa katikati ya barabara wakati mwenye gari ukipaki kushusha mtu 30000 inakuhusu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom