Tukiacha mizaha tutafika sehemu salama

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
781
1,000
Habari!

Hongera kwa watahiniwa wote wa vyama siasa kwa hatua mliyopo, nje na vyama vyenu ninyi ni watanzania naomba mlifahamu.

Napenda kuongea na wapiga kura hususani wakeleketwa wa maendeleo maana natamani sana kuwashauri jambo kuwa siasa nzuri ni sera na sio kinyume chake.

Nazidi kushangazwa na siasa za kuzungumzia watu wa vyama na sio sera za vyama vyao hao watu wanavyovisimamia.

Lini tutafika? Jibu; tutafika tu endapo tukipata chama kizuri chenye sera nzuri ambazo watahiniwa wake kupitia chama husika wataeleza namna bora na nzuri watakavyosimamia.

Karibu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom