Tukiacha Mihemko,Hisia za Kisiasa, Kiitikadi na Sifa za Marehemu. Ushujaa/Mchango wa Kingunge katika Taifa hili ni nini?

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,604
2,000
Hili ni swali ambalo nmkuwa nikijiuliza sana kutokana na sasa kila mtu kuonesha ukaribu wake na jinsi alivyomfaham ndugu kingunge ngomale mwiru.

Watu wamefikia kumwita ni shuajaa wa taifa.nikalazimika kurudi nyuma kusoma michango mbalimbali ya huyu mzee wetu katika taifa hili mpaka anafariki.namkumbuka zaidi kwa msemo wake kuwa "CCM imeishiwa pumzi" hilo ndilo nalo kumbuka.

Namkumbuka pia alivyohusika kwenye mchakato wa kutafuta katiba mpya... Kingunge alishakuwa amepoteza network muda mrefu kisiasa.hakuwa na mvuto toka akiwa ndani ya CCM na hata alipokuja kustaafu siasa za CCM.

Sioni mchango wake mkubwa kitaifa ambao unapaswa kumfanya shujaa.kinyume na hapo tuendelee kumpa sifa za marehemu. Ila pia wajuzi mnaweza nifahamisha.kwa wale ambao watataka kujua umri wangu niwaambie tu rais nyerere yupo madarakani mimi najitambua mpaka anamwachia mwinyi madaraka.nikifuatilia kwa ukaribu siasa za nchi hii.

Mimi ni mmoja wa waliokuwa wakihitaji serikali ya tanganyika miaka ile ya kundi la G55 likiwa na akina njeru kasaka etc. Jambo lililokuja mgombanisha nyerere na john malecela na kutengeneza uadui mkubwa sana.

Lakini sioni ushujaa wa kingunge. Mnisaidie maana tuna mitazamo tofauti. Kinyume na hapo sikatai yapo ya kujifunza toka kwa marehemu mazuri na mabaya.lakini tusifikie kuwa wanafiki. Roho yake iwekwe inapostahili. Amina.
 
kibori nangai

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
428
500
Mkuu nilikuwa na mawazoo kama yakoo mimi namfahamuu nikiwa IFM Pale ambapo palikuwa NNationa parking sasa ivi wameuziwa wachina wajenge ubalozii wa china alikuwa anamiliki na familia yake mkuuuu.Sina kumbukumbu kwa kipi wanamuita shujaaa
 
Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,284
2,000
Hili ni swali ambalo nmkuwa nikijiuliza sana kutokana na sasa kila mtu kuonesha ukaribu wake na jinsi alivyomfaham ndugu kingunge ngomale mwiru.

Watu wamefikia kumwita ni shuajaa wa taifa.nikalazimika kurudi nyuma kusoma michango mbalimbali ya huyu mzee wetu katika taifa hili mpaka anafariki.namkumbuka zaidi kwa msemo wake kuwa "CCM imeishiwa pumzi" hilo ndilo nalo kumbuka.

Namkumbuka pia alivyohusika kwenye mchakato wa kutafuta katiba mpya... Kingunge alishakuwa amepoteza network muda mrefu kisiasa.hakuwa na mvuto toka akiwa ndani ya CCM na hata alipokuja kustaafu siasa za CCM.

Sioni mchango wake mkubwa kitaifa ambao unapaswa kumfanya shujaa.kinyume na hapo tuendelee kumpa sifa za marehemu. Ila pia wajuzi mnaweza nifahamisha.kwa wale ambao watataka kujua umri wangu niwaambie tu rais nyerere yupo madarakani mimi najitambua mpaka anamwachia mwinyi madaraka.nikifuatilia kwa ukaribu siasa za nchi hii.

Mimi ni mmoja wa waliokuwa wakihitaji serikali ya tanganyika miaka ile ya kundi la G55 likiwa na akina njeru kasaka etc. Jambo lililokuja mgombanisha nyerere na john malecela na kutengeneza uadui mkubwa sana.

Lakini sioni ushujaa wa kingunge. Mnisaidie maana tuna mitazamo tofauti. Kinyume na hapo sikatai yapo ya kujifunza toka kwa marehemu mazuri na mabaya.lakini tusifikie kuwa wanafiki. Roho yake iwekwe inapostahili. Amina.
Sitakuunga mkono. Mwl. Nyerere alipotutoka,hata wasiomjua walimlilia! Wengine hadi leo wanadebate aitwe "Mtakatifu" . Nikuulize,je ni kwa nini? Ina maana ni yote mema aliyowafanyiwa Watz? Jibu ni hapana! Ila, tukiangalia kwa ujumla wake,alivyojitoa maisha kuudai uhuru kutoka kwa mkoloni,kuanza kuijenga nchi inaitwa Tanganyika hadi Tanzania,namna alivyotuunganisha,ilistahili na inastahili kumlilia na kumuenzi. Huo ndiyo uungwana. Kwa Mzee wetu Comrade,Kingunge ( Mungu amweke mahali pema peponi) amefanya mengi,sina haja ya kurudia yamesemwa,naye kadhalika. Ndugu,ninajua kwa vile umesema ulikuwepo enzi za harakati zake,hutakosa mapungufu,basi angalao ungetupa na yale ya upande wa pili(mazuri) ingependeza.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,773
2,000
Hili ni swali ambalo nmkuwa nikijiuliza sana kutokana na sasa kila mtu kuonesha ukaribu wake na jinsi alivyomfaham ndugu kingunge ngomale mwiru.

Watu wamefikia kumwita ni shuajaa wa taifa.nikalazimika kurudi nyuma kusoma michango mbalimbali ya huyu mzee wetu katika taifa hili mpaka anafariki.namkumbuka zaidi kwa msemo wake kuwa "CCM imeishiwa pumzi" hilo ndilo nalo kumbuka.

Namkumbuka pia alivyohusika kwenye mchakato wa kutafuta katiba mpya... Kingunge alishakuwa amepoteza network muda mrefu kisiasa.hakuwa na mvuto toka akiwa ndani ya CCM na hata alipokuja kustaafu siasa za CCM.

Sioni mchango wake mkubwa kitaifa ambao unapaswa kumfanya shujaa.kinyume na hapo tuendelee kumpa sifa za marehemu. Ila pia wajuzi mnaweza nifahamisha.kwa wale ambao watataka kujua umri wangu niwaambie tu rais nyerere yupo madarakani mimi najitambua mpaka anamwachia mwinyi madaraka.nikifuatilia kwa ukaribu siasa za nchi hii.

Mimi ni mmoja wa waliokuwa wakihitaji serikali ya tanganyika miaka ile ya kundi la G55 likiwa na akina njeru kasaka etc. Jambo lililokuja mgombanisha nyerere na john malecela na kutengeneza uadui mkubwa sana.

Lakini sioni ushujaa wa kingunge. Mnisaidie maana tuna mitazamo tofauti. Kinyume na hapo sikatai yapo ya kujifunza toka kwa marehemu mazuri na mabaya.lakini tusifikie kuwa wanafiki. Roho yake iwekwe inapostahili. Amina.
Kwa kile kitendo cha kukubali kubeba jukumu la kugawa kadi 100 za awali kabisa za Tanu katika nyakati ngumu na za kutisha za ukoloni huyu ni shujaa. Pili kwa kitendo cha kumsindikiza Lowassa kule UKAWA akagombee urais bila yeye kujiunga na Chadema ina maana kubwa nao pia ni ushujaa. Na mwisho kwa kupata nafasi adhimu na nyeti cha kuwa mjumbe wa kikao muhimu kilichomuhusisha Lowassa, Mbowe, Ndesamburo na Maalim Seif wakati wa ugeni wa Nabii TB Joshua wakati yeye si Chadema, Cuf wala Nccr kinampa ushujaa mwingine. Mchana mwema!
 
m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
971
1,000
Kingunge ni mzee mwaminifu kwa taifa letu pamoja na mapungurfu yake kwa kutumikia taifa letu toka na kabla ya uhuru na kuendelea kushiriki katika ujenzi wa taifa letu baada ya uhuru bila kumtilia mashaka wala wasiwasi wala hofu mpaka uzee wake inatosha pasi na shaka kumuenzi kama moja ya mashujaa wa taifa letu.

Mwenyezi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.

Amiiin Amina.
 
Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
3,802
2,000
Hili ni swali ambalo nmkuwa nikijiuliza sana kutokana na sasa kila mtu kuonesha ukaribu wake na jinsi alivyomfaham ndugu kingunge ngomale mwiru.

Watu wamefikia kumwita ni shuajaa wa taifa.nikalazimika kurudi nyuma kusoma michango mbalimbali ya huyu mzee wetu katika taifa hili mpaka anafariki.namkumbuka zaidi kwa msemo wake kuwa "CCM imeishiwa pumzi" hilo ndilo nalo kumbuka.

Namkumbuka pia alivyohusika kwenye mchakato wa kutafuta katiba mpya... Kingunge alishakuwa amepoteza network muda mrefu kisiasa.hakuwa na mvuto toka akiwa ndani ya CCM na hata alipokuja kustaafu siasa za CCM.

Sioni mchango wake mkubwa kitaifa ambao unapaswa kumfanya shujaa.kinyume na hapo tuendelee kumpa sifa za marehemu. Ila pia wajuzi mnaweza nifahamisha.kwa wale ambao watataka kujua umri wangu niwaambie tu rais nyerere yupo madarakani mimi najitambua mpaka anamwachia mwinyi madaraka.nikifuatilia kwa ukaribu siasa za nchi hii.

Mimi ni mmoja wa waliokuwa wakihitaji serikali ya tanganyika miaka ile ya kundi la G55 likiwa na akina njeru kasaka etc. Jambo lililokuja mgombanisha nyerere na john malecela na kutengeneza uadui mkubwa sana.

Lakini sioni ushujaa wa kingunge. Mnisaidie maana tuna mitazamo tofauti. Kinyume na hapo sikatai yapo ya kujifunza toka kwa marehemu mazuri na mabaya.lakini tusifikie kuwa wanafiki. Roho yake iwekwe inapostahili. Amina.

Mzee Kingunge ni miongoni mwa "master minds" wa siasa za awamu ya kwanza na hata baadae kidogo. Angekuwa na legacy kama yale aliyokuwa anayafanya wakati wa ujana wake angeyasimamia mpaka mwisho.
Alipokengeuka na kubadili gia juu kwa juu angani, kwangu mimi alikuwa ni opportunist tu kuliko mtu mwenye legacy yoyote ya maana kwa Taifa.

Mara maji mtaa mzima ynaishia sehemu moja...mara parking jiji zima hela inaishia mfuko mmoja. Ni shida sana.
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,604
2,000
Hivi ndivyo alivyokuja kuwa... Mzee mhuni mbadhilifu. Aliyeshiriki kuharibu bunge la katiba. Pasipo kujali wananchi wengi walitaka nini... Ndo kingunge huyo. Alishapotoka kitambo sana.akapoteza heshima ktk taifa hili.

Mzee Kingunge ni miongoni mwa "master minds" wa siasa za awamu ya kwanza na hata baadae kidogo. Angekuwa na legacy kama yale aliyokuwa anayafanya wakati wa ujana wake angeyasimamia mpaka mwisho.
Alipokengeuka na kubadili gia juu kwa juu angani, kwangu mimi alikuwa ni opportunist tu kuliko mtu mwenye legacy yoyote ya maana kwa Taifa.

Mara maji mtaa mzima ynaishia sehemu moja...mara parking jiji zima hela inaishia mfuko mmoja. Ni shida sana.
 
Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,284
2,000
Kingunge ni mzee mwaminifu kwa taifa letu pamoja na mapungurfu yake kwa kutumikia taifa letu toka na kabla ya uhuru na kuendelea kushiriki katika ujenzi wa taifa letu baada ya uhuru bila kumtilia mashaka wala wasiwasi wala hofu mpaka uzee wake inatosha pasi na shaka kumuenzi kama moja ya mashujaa wa taifa letu.

Mwenyezi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.

Amiiin Amina.
Exactly.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom