Tukate mzizi wa fitina: Tuwahesabu mafisadi/watuhumiwa wa ufisadi CCM na UKAWA ili tujue nani mchafu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Namba huzungumza. Namba huweka ushahidi na kumaliza mabishano. Inasemwa hapa Tanzania kuwa kwasasa CHADEMA/UKAWA wana mafisadi kuliko CCM. Na inasemwa kuwa CCM imejivua gamba kiaina kwa mafisadi wote/watuhumiwa wa ufisadi kuhamia CHADEMA/UKAWA.

Sasa tumalize ubishi. Sasa tuweke mambo hadharani. Tuanike hapa idadi au majina ya mafisadi/watuhumiwa wa ufisadi ili tuone nani au chama kipi hasa ni kichafu.Mimi naanza. Nawakumbusha List of Shame ya CHADEMA iliyotajwa pale Mwembeyanga mwaka 2007. Yalitajwa majina 11. Kati ya majina hayo, majina 10 bado yapo CCM.

Jina moja lipo CHADEMA/UKAWA. Hadi hapo,CCM ina kura za uchafu 10 na CHADEMA ina kura moja ya uchafu. Nimekumbusha List hii kwakuwa hakuna aliyekwenda mahakamani kupinga au kulalamikia kutajwa kwenye Orodha ile ya mafisadi.Karibuni mtaje na tuone uchafu halisi wa vyama vya CCM na CHADEMA/UKAWA

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Mzee Tupatupa,kwa sasa hata kama nilibakiza asilimia ndogo ya kuipenda CCM na kusema labda nitampa kura yangu Magufuli ndiyo imeisha kabisa.

Maana kwa sasa Mzee wangu,CCM hakuna SERA tena zaidi ya MATUSI na LOWASSA.Hebu itafute CLIP ya mgombea ubunge wa Geita alivyotukana na kukashfu kwa kiasi kile hivi ni kweli kwamba Lowassa alijichafua???Hivi Baba yako akijichafua unaenda kumtangaza kwa jirani ili na majirani nao wajue baba alijichafua??

Hivi Magufuli anatuambia nini Watanzania,kwa jinsi ambavyo hakemei matusi,je si anatuambia kwamba akifika madarakani hiyo ndiyo itakuwa SERA yake kubwa???Maana kama aliwaambia watu wa Biharamulo waweke kinyesi chao kwenye barabara na wakisamabze kiwe lami,ni huyu huyu aliyesema tunaoishi upande wa pili wa KIVUKONI tupige mbizi kama hatuna shilingi mia mbili,leo matusi yakiwa yanamfurahisha Mgombea URAIS huyu yananitatiza kama kesho majibu yake hayatakuwa ya kifirauni...

Hebu mwambieni Magufuli si wote tunaopenda matusi,watanzania tunapenda kusikiliza sera za watu.Achukue mfano kwa wenzake,Zitto alimpiga stop Mgombea ubunge wake na kumwombea radhi leo huyu wa CCM tusemeje???
 
Namba huzungumza. Namba huweka ushahidi na kumaliza mabishano. Inasemwa hapa Tanzania kuwa kwasasa CHADEMA/UKAWA wana mafisadi kuliko CCM. Na inasemwa kuwa CCM imejivua gamba kiaina kwa mafisadi wote/watuhumiwa wa ufisadi kuhamia CHADEMA/UKAWA.

Sasa tumalize ubishi. Sasa tuweke mambo hadharani. Tuanike hapa idadi au majina ya mafisadi/watuhumiwa wa ufisadi ili tuone nani au chama kipi hasa ni kichafu.Mimi naanza. Nawakumbusha List of Shame ya CHADEMA iliyotajwa pale Mwembeyanga mwaka 2007. Yalitajwa majina 11. Kati ya majina hayo, majina 10 bado yapo CCM.

Jina moja lipo CHADEMA/UKAWA. Hadi hapo,CCM ina kura za uchafu 10 na CHADEMA ina kura moja ya uchafu. Nimekumbusha List hii kwakuwa hakuna aliyekwenda mahakamani kupinga au kulalamikia kutajwa kwenye Orodha ile ya mafisadi.Karibuni mtaje na tuone uchafu halisi wa vyama vya CCM na CHADEMA/UKAWA

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Orodhesha wale 10 waliopo CCM! Wengine hawakuiona ile orodha.
 
Cku ya uzinduz wa kampeni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia alimwambia lowassa kwamba kuna watu watakubeza,kukutukana na kukuchafua kwa Maslah yao binafsi akasema usikate tamaa kwakuwa hata hayati Nelson Mandela aliwah kusema "No easy way walk to freedom" na akamaliza kwa kusema ukiona unazidiwa imba tenzi za rohoni wimbo na 119 bwana u sehemu yangu...🎶🎶🎶🎼
 
sisi si magufuri imejawa na mafisadi papa na nyangumi.
 
naonda wachangiaji wamedili na matus zaidi kulilo kupiga kura chafu zilizoombwa na
VUTA NIKUVUTE
 
Namba huzungumza. Namba huweka ushahidi na kumaliza mabishano. Inasemwa hapa Tanzania kuwa kwasasa CHADEMA/UKAWA wana mafisadi kuliko CCM. Na inasemwa kuwa CCM imejivua gamba kiaina kwa mafisadi wote/watuhumiwa wa ufisadi kuhamia CHADEMA/UKAWA.

Sasa tumalize ubishi. Sasa tuweke mambo hadharani. Tuanike hapa idadi au majina ya mafisadi/watuhumiwa wa ufisadi ili tuone nani au chama kipi hasa ni kichafu.Mimi naanza. Nawakumbusha List of Shame ya CHADEMA iliyotajwa pale Mwembeyanga mwaka 2007. Yalitajwa majina 11. Kati ya majina hayo, majina 10 bado yapo CCM.

Jina moja lipo CHADEMA/UKAWA. Hadi hapo,CCM ina kura za uchafu 10 na CHADEMA ina kura moja ya uchafu. Nimekumbusha List hii kwakuwa hakuna aliyekwenda mahakamani kupinga au kulalamikia kutajwa kwenye Orodha ile ya mafisadi.Karibuni mtaje na tuone uchafu halisi wa vyama vya CCM na CHADEMA/UKAWA

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Jina lililoko UKAWA linagombea Urais, majina yaliyoko CCM hakuna hata moja linalogombea Urais
 
BWM, JK, JPM, Makamb, Muhongo, Tibaijuk, Ngelej, Chenge, Mramba, Yona, Manji, Memb, Warioba, Mwakyembe, Sitta, Lukuv, Lazaro, Nchemba, Pinda, Pengo, Slaa, Lipumba, Kinana, Nape, Ritz, Mwanakijiji, Mbaraw,

astaghafrullah warioba wa watu hajawahi kuiba
 
Mkuu wenzako hawataki kukumbushwa hilo!
Nakubaliana na hoja ya Kadhi Mkuu 1, weka ile orodha upya...
Siyo siri, wameshikwa pabaya!
 
Last edited by a moderator:
astaghafrullah warioba wa watu hajawahi kuiba

Tulia ujui ndio ccm io. Jiulize imekuwaje Warioba karudi kwenye majukwaa kuitetea ccm licht ya kutukanwa sana na Maccm.

Walimtishia kuhusu Meremeta Mzee wa Musoma nae alilamba ndio mana kanywea, aliogopa wataifufua. Muulize mwana ccm yeyote kuhusu (Buhemba - Meremeta)
 
  • Thanks
Reactions: aye
Dada umenichekesha sana asante kwa kuifanya siku ya Leo kuwa green monday
 
Namba huzungumza. Namba huweka ushahidi na kumaliza mabishano. Inasemwa hapa Tanzania kuwa kwasasa CHADEMA/UKAWA wana mafisadi kuliko CCM. Na inasemwa kuwa CCM imejivua gamba kiaina kwa mafisadi wote/watuhumiwa wa ufisadi kuhamia CHADEMA/UKAWA.

Sasa tumalize ubishi. Sasa tuweke mambo hadharani. Tuanike hapa idadi au majina ya mafisadi/watuhumiwa wa ufisadi ili tuone nani au chama kipi hasa ni kichafu.Mimi naanza. Nawakumbusha List of Shame ya CHADEMA iliyotajwa pale Mwembeyanga mwaka 2007. Yalitajwa majina 11. Kati ya majina hayo, majina 10 bado yapo CCM.

Jina moja lipo CHADEMA/UKAWA. Hadi hapo,CCM ina kura za uchafu 10 na CHADEMA ina kura moja ya uchafu. Nimekumbusha List hii kwakuwa hakuna aliyekwenda mahakamani kupinga au kulalamikia kutajwa kwenye Orodha ile ya mafisadi.Karibuni mtaje na tuone uchafu halisi wa vyama vya CCM na CHADEMA/UKAWA

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Bulembo, Kashfa ya VVU feki, Shimbo pesa za wanajeshi zilizolipwa na UN. Kova, Mahita, yani wako wengi tuseme kwenye serikali ya Maccm wasafi wanaweza kuwa labda sita au watano
 
Jina lililoko UKAWA linagombea Urais, majina yaliyoko CCM hakuna hata moja linalogombea Urais

No data no right to speak. 1. Ufisadi kupitia uuzwaji wa nyumba za serikali 2. Bil 262 ujenzi CAG 2013, 3. Taa kwenye barabara isiyo na wingi wala magari kwa kibarabara cha kuingia Chato mjini.
 
Namba huzungumza. Namba huweka ushahidi na kumaliza mabishano. Inasemwa hapa Tanzania kuwa kwasasa CHADEMA/UKAWA wana mafisadi kuliko CCM. Na inasemwa kuwa CCM imejivua gamba kiaina kwa mafisadi wote/watuhumiwa wa ufisadi kuhamia CHADEMA/UKAWA.

Sasa tumalize ubishi. Sasa tuweke mambo hadharani. Tuanike hapa idadi au majina ya mafisadi/watuhumiwa wa ufisadi ili tuone nani au chama kipi hasa ni kichafu.Mimi naanza. Nawakumbusha List of Shame ya CHADEMA iliyotajwa pale Mwembeyanga mwaka 2007. Yalitajwa majina 11. Kati ya majina hayo, majina 10 bado yapo CCM.

Jina moja lipo CHADEMA/UKAWA. Hadi hapo,CCM ina kura za uchafu 10 na CHADEMA ina kura moja ya uchafu. Nimekumbusha List hii kwakuwa hakuna aliyekwenda mahakamani kupinga au kulalamikia kutajwa kwenye Orodha ile ya mafisadi.Karibuni mtaje na tuone uchafu halisi wa vyama vya CCM na CHADEMA/UKAWA

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
AAAAAcha!utaua ccm leo leo.Maana from juu mpaka chini ni mafisadi tofauti ni % ya ufisadi wao
 
BWM, JK, JPM, Makamb, Muhongo, Tibaijuk, Ngelej, Chenge, Mramba, Yona, Manji, Memb, Warioba, Mwakyembe, Sitta, Lukuv, Lazaro, Nchemba, Pinda, Pengo, Slaa, Lipumba, Kinana, Nape, Ritz, Mwanakijiji, Mbaraw,
Lukuvi ni simba mwenda pole,yaani huwezi kumzania ila Dodoma du?Hafai hafai hafai
 
Namba huzungumza. Namba huweka ushahidi na kumaliza mabishano. Inasemwa hapa Tanzania kuwa kwasasa CHADEMA/UKAWA wana mafisadi kuliko CCM. Na inasemwa kuwa CCM imejivua gamba kiaina kwa mafisadi wote/watuhumiwa wa ufisadi kuhamia CHADEMA/UKAWA.

Sasa tumalize ubishi. Sasa tuweke mambo hadharani. Tuanike hapa idadi au majina ya mafisadi/watuhumiwa wa ufisadi ili tuone nani au chama kipi hasa ni kichafu.Mimi naanza. Nawakumbusha List of Shame ya CHADEMA iliyotajwa pale Mwembeyanga mwaka 2007. Yalitajwa majina 11. Kati ya majina hayo, majina 10 bado yapo CCM.

Jina moja lipo CHADEMA/UKAWA. Hadi hapo,CCM ina kura za uchafu 10 na CHADEMA ina kura moja ya uchafu. Nimekumbusha List hii kwakuwa hakuna aliyekwenda mahakamani kupinga au kulalamikia kutajwa kwenye Orodha ile ya mafisadi.Karibuni mtaje na tuone uchafu halisi wa vyama vya CCM na CHADEMA/UKAWA

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kuna hawa pia....
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...sadi-wa-elimu-tanzania-chagombewa-sokoni.html
 
Back
Top Bottom