Tukajiandikishe

KIFUSO

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
276
0
nashukuru tumeamka salama na hata wewe unayeumwa nakuombea upone haraka,ni hivi wewe kijana unayependa mabadiliko lazima ukajiandikishe kwanza ndipo ufanye mabadiliko,utakumbuka leo ni siku ya mwisho,ttzo kubwa la vijana hatujitambui utakuta makundi ya vijana kwenye kahawa,pool table,kwa shoe shine,wakibishana kuhusu mafisadi kuchota mabilion yao lakin ukiwauliza wamejiandisha wanabaki kukodoa macho tu!nakuhahakishia mabadiliko hayaji kwa ubishi wa vijiweni,haya basi TWENZETU
 

Awo

JF-Expert Member
Apr 12, 2010
794
500
Nimejiandikisha asubuhi hii. Mbona hii biashara ya Ukawa huku Mbezi Beach hamna? CDM na CUF wamesimama kila mmoja full mkoba!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom