Tujuzane visingizio,visa,hoja,mikasa na sababu mbalimbali zinazopelekea baadhi ya watu kutohudhuria misiba hata ya ndugu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
  • Kuna watu hudai hawajajiandaa kila wanapopewa taarifa ya kufika msibani,
  • kuna watu hudai hawana nauli ya kwenda msibani,
  • kuna watu hudai hawana nguo za kuvaa msibani,
  • kuna watu hudai hawajaaga kazini ili wakwepe kufika msibani
  • kuna watu hudai wamebanwa na biashara zao
  • Kuna watu husingizia wananyonyesha ilimradi wasifike msibani..........
PAMOJA NA SABABU ZINGINE LUKUKI..
Ebu tuelezane ukweli hapa; ni changamoto gani huwa unakumbana nayo inayokufanya kutohudhuria misiba? Je wanafamilia wenzako Wanakuelewa?
KARIBUNI
 
Back
Top Bottom