Tujuzane uzuri, changamoto, gharama za kuagiza mizigo kutoka china kupitia Silent Ocean na kampuni nyingine

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,031
Habari wadau, Nataka kuagiza mizigo kutoka China

Nimejuzwa kwamba kuna makampuni yanahusika na kuleta mizigo mpaka hapa Tanzania.

Sasa najua wengi pengine kwa haraka haraka mmeona ni heri ningeongea nao hizo kampuni moja kwa moja, Ni jambo zuri lakini kwa uzoefu wangu nimeona wataongelea tu mazuri bila kunijuza changamoto, matatizo, Gharama za ziada, n.k

Sasa basi mtujuze ambao ni wazoefu ili na sisi makinda tusijikwae mlipojikwa
 
search keyword hii "FURSA ZA BIASHARA CHINA" au "KUAGIZA MIZIGO CHINA" utapata uzi unaeleza kila ktuu
 
Umeagiza online ? Kama umeenda moja kwa moja china haitakusumbua lakini kama umeagiza online uwe tayari kupokea lolote litakalotokea maana China ni Dunia nyingine.
 
Back
Top Bottom