mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Hii ni tabia ya asili tuwapuuze😀Shida ya wafrika. Ukishachangia, wanaanza kujadili comment yako badala ya wao kutoa njia zingine au kukosoa kwa hoja. Hongera sana. Japokuwa wanakuponda, lakini umeweza kuonesha njia moja kati ya njia nyingi zinazotumika kutoa FRP kwenye simu. Nishaacha siku nyingi sana kuchangia mawazo yanahusu teknolojia kwenye mitandao ya waswahili. Ndiyo maana sijatoa hata njia moja na sitaweza. Huwa nachangia kwenye magroup na forum za wahindi maana hao wanajua. Unabishana kwa hoja kwa lengo la kuelimishana.