Tujuzane, ni lini???

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Walimu ajira mpya Sekondari Wilaya ya Mkinga, Tanga fedha za kujikimu kwa siku nne zilizobaki zitalipwa lini? Hali ya uchumi ngumu.
 
Walimu ajira mpya Sekondari Wilaya ya Mkinga, fedha za kujikimu kwa siku nne zilizobaki zitalipwa lini? Hali ya uchumi ngumu.

hivi ualimu ndo kazi gani vile!!..kazi ya ki 'mbebez' hiyo haina maslah!!...mshahara wako mimi ndo nanywea pombe siku moja!
 
Sio za siku nne.
Kauli iliyopatikana leo ni kuwa cheque iko kwa Mkurugenzi. Hatari iliyopo ni kuwa siku za kazi zilizobaki kwa wiki hii ni kesho na keshokutwa tu. Wajuzi wa mambo wanasema walimu wa Sekondari wilaya ya Mkinga mna hali ngumu sababu viongozi wenu hawajali, muda mwingi wako bize na shughuli zao.
Duu mlipewa za siku nne? Aisee kuna watu wanaroho mbaya!!!
 
Back
Top Bottom