THNKER-hardson
Senior Member
- Dec 26, 2016
- 150
- 80
Wapendwa, ni muda sasa nawaza wapi panafaa kwa biashara na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa kulinganisha na mahala pengine. Toa mji wa mamwinyi TANGA
Je, ni biashara ya aina gani?Wapendwa ni muda sasa nawaza wapi panafaa kwa biashara na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa kulinganisha na mahala pengine.
Toa mji wa mamwinyi TANGA
sawa kabisa DAR kumejaaKila mkoa unafaa,tatizo uvumilivu+ utafiti. Ila kwa mimi napendelea mikoa ambayo bado inakua mf.simiyu,njombe nahata shinyanga huko.
Yeah ni kweli kumejaa na fursa zinabana,hata kujiongeza mfano kwa kilimo kidogo kidogo haiwezekani,kila kitu pesa mpaka choo unalipia.sawa kabisa DAR kumejaa
Shinyanga kwa biashara ipi Mkuu...ule mji sio kabisa aiseeKila mkoa unafaa,tatizo uvumilivu+ utafiti. Ila kwa mimi napendelea mikoa ambayo bado inakua mf.simiyu,njombe nahata shinyanga huko.
Mkuu, unadhani Iringa inafaa kwa Biashara gani?Kwangu nadhan Iringa,Mbeya na Njombe
Biashara kama zipi kwa sumbawanga?sumbawanga
Inategemea ni biashara gani unataka kufanya lakini mahali popote ambapo kuna watu lazima kuna fursa ya biashara kutokana na uhitaji wetu sisi wanadamuWapendwa ni muda sasa nawaza wapi panafaa kwa biashara na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa kulinganisha na mahala pengine.
Toa mji wa mamwinyi TANGA
biashara ya mazaoBiashara kama zipi kwa sumbawanga?