Tujuzane machimbo yetu pendwa ya nyama ya kitimoto

Pamoja na kuwa tunaandamwa sana na thread za kutishia afya zetu kisa kula nyama yetu pendwa, mimi kama mdau nashauri tuwapuuze tu na zaidi tufahamishane maeneo inapopatikana kirahisi popote Tanzania ili wadau tupate urahisi wa kufika na kusuuza roho.

Mimi kwa hapa jiji la Makondakta napendelea kwenda kwa "RAS" mitaa ya Mikocheni ama hapo Kontena CCM kama unaelekea hospital ya Kairuki ukitokea Victoria Mikocheni. Karibuni.
Double wallet kwanza hapo kirumba au The joint isamilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom