Tujuzane machache kuhusu biashara ya usafi (cleaning companies) faida na changamoto zake

Harry singo

JF-Expert Member
Apr 24, 2016
352
500
Habari zenu wanna jf.

Kuna mtu amenijia na wazo la kufungua kampuni ya usafi baada ya kuitwa kwenda kwa mwanasheria Fulani kwenda kumfulia nguo na kumfanyia usafi ambapo anasema alimlipa elfu kumi kumi kadhaa (hakuniambia) akaniambia nimpatie mtaji ili anunue vifaa kwa ajili ya kuanza biashara hiyo.

Akanitajia vifaa Kama vile driller, vacuum cleaner, na vingine vingine. Kwa kweli nilihamasika nikatamani niingie ubia naye ila nikaona kabla ya kuyoa pesa yangu nijadiliane kidogo na wajuvi was jf ndugu zangu was mtandaoni.

Hivyo nakaribisha michango kuhusu biashara hii, gharama za uanzishaji, vifaa, faida, changamoto zake, upatikanaji was wateja nk.
Asanteni.

Omoghambi wa itoronto,
 

Harry singo

JF-Expert Member
Apr 24, 2016
352
500
Unaweza tumia mfumo wa Uber au Idea ya Uber unatengeneza systeam yako then wewe unakuwa unapiga pesa, make hii unayo waza ipo inafanywa individually na watu so unaweza kuja na mfumo tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba unatengeneza application ambayo mtu anatafuta huduma anayotaka hapo wakati huo huo wafanyakazi nao wanajipost kupata tenda. Lakini Sasa unawadhibitije wezi na matapeli?

Mana mtu anawezapitia mfumo wako kwenda kusoma ramani mahali. Ila wakiwa chini yako Kama wafanyakazi was kampuni wenye mikataba unaweza wasimamia, nilikua nawaza ivyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom