chuxxe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 600
- 361
Habari wana jf. Leo ningependa kukujuza jinsi ya kutransfer file kutoka kwenye simu kuelekea kwenye PC au kwenye PC kuelekea kwenye simu bila kutumia cable yoyote.
Kikubwa pc yako iwe na wifi.or bluetooth maana hii ni wireless download PC remote kwenye simu yako. App hii itakusaidia kuhamisha vitu vyako bila wire yoyote ile vitu kama movie music app na vingnevyo vingi.
pia app hii itakusaidia kutumia mouse kwakutumia simu kwa kwa umbar mrefu pia inaweza kuifanya simu yako ihaimie kwenye PC yhn utumie simu ukiwa unaangalia kwenye PC.
Cha kufanya download pc remote kwenye play store yako kisha ingia google pia download pc remote kwa upande Wa PC then Fanya installation kwenye PC yako kisha connect na simu yako enjoy.
Kama kuna swali tuulizane.