Tujuzane kuhusu wireless file transfer kutoka kwenye simu kuelekea kwenye pc au PC to phone

chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
600
361
Habari wana jf. Leo ningependa kukujuza jinsi ya kutransfer file kutoka kwenye simu kuelekea kwenye PC au kwenye PC kuelekea kwenye simu bila kutumia cable yoyote.

Kikubwa pc yako iwe na wifi.or bluetooth maana hii ni wireless download PC remote kwenye simu yako. App hii itakusaidia kuhamisha vitu vyako bila wire yoyote ile vitu kama movie music app na vingnevyo vingi.

pia app hii itakusaidia kutumia mouse kwakutumia simu kwa kwa umbar mrefu pia inaweza kuifanya simu yako ihaimie kwenye PC yhn utumie simu ukiwa unaangalia kwenye PC.

Cha kufanya download pc remote kwenye play store yako kisha ingia google pia download pc remote kwa upande Wa PC then Fanya installation kwenye PC yako kisha connect na simu yako enjoy.

Kama kuna swali tuulizane.


Screenshot_2020-12-02-09-00-39.jpg
 
Wait!

Ina maana hiyo 1.4K/s ndo transfer speed, au?! If not, taja transfer speed or else, Shareit will still be my favorite app for file transfer!
 
Wait!

Ina maana hiyo 1.4K/s ndo transfer speed, au?! If not, taja transfer speed or else, Shareit will still be my favorite app for file transfer!
Nope hiyo juu hapo ni ni screen short ya simu yang mkuu kuhusu transfer speed not fast sana movie ya 2gb inaweza kukopy kwa dakika 1...pia inategemea umeconect kwakutumia nini bluetooth au wif.
 
nope hiyo juu hapo ni ni screen short ya simu yang mkuu kuhusu transfer speed not fast sana movie ya 2gb inaweza kukopy kwa dakika 1...pia inategemea umeconect kwakutumia nini bluetooth au wif.
Mbona mimi i can do that kwa kutumia bluetooth without the need of any app?
chuxxe
 
Wait!

Ina maana hiyo 1.4K/s ndo transfer speed, au?! If not, taja transfer speed or else, Shareit will still be my favorite app for file transfer!
Ukiangalia hapo hata pc haijawa connected, hivyo hiyo ni synchronisation ndogo ndogo za simu kupitia mtandao anaotumia kuangalia kama kuna new messages, email etc
 
Back
Top Bottom