Tujuzane kuhusu huyu mrembo mweupe laini laini anaecheza kwenye video mpya ya 'Katika' ya Nvy Kenzo ft Diamond

Dr Martin Luther King, Junior (Atlanta, Georgia, 15 Januari 1929 – Memphis, Tennessee, 4 Aprili 1968) alikuwa Mkristo mwenye asili ya Afrika, mchungaji wa Kibaptisti na mwanaharakati mashuhuri kutoka nchi ya Marekani aliyepigania haki za binadamu, hasa Wanegro, wakati nchi hiyo ilipokuwa bado na sheria za ubaguzi wa rangi.

Baadhi ya madhehebu ya Marekani, hasa Waanglikana na Walutheri, yana mheshimu kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake hua dhimishwa tarehe yake ya kuzaliwa au ya kuuawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom