Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,622
- 21,991
Dar maeneo ya kifuru na king'azi kuanzia may uwa kunakua kuna kajubaridi flanNdo kinachonikosesha raha Dar joto limezidi, population ipo juu, huwa natamani sn niishi sehemu kama mafinga au lushoto huhitaji AC na unaepuka gharama kias
Wewe chunguza hili tunaoishi Dar tembelea sehemu zenye baridi usiku utalala usingizi Ambao hujawahi lala mwili utarefresh sn na utajikuta hata mchana unataka kulala may be mpaka siku 3-4 ndio mwili utarudi katika hali yake ya kawaida