Tujuzane Kinachoendelea Mgomo wa Mabus ya Mikoani Leo 10/03/2021

Burundi nao wametangaza kupiga marufuku mahindi yote kutoka Tanzania kuingia nchini humo kutokana na tetesi ya kuwa yana sumu!

Source: BBC asubuhi ya leo.
Hata kama wamepiga marufuku, hawawzi kudhibiti maeneo ya mipakani kama Vile njia Kati ya Kasenyi na kabale au Cankuzo na KAKONKO.... Warundi KILA siku wanaingia kununua nshundi. Huko kwao n njaaa. Hata Leo wataingia
 
Kuna waliogoma na walioendelea na kazi zao kama kawaida.

kwa mfano basi za kutoka Dar kwenda Tabora ipo kampuni moja tu leo ndiyo imesafirisha abiria
 
Anatafutwa aliyewashawishi pamoja na wale wa Mikoani ( wenye Viherehere ) ili wafanyiwe kile alichofanyiwa aliyekuwa Kiongozi Wao Madhubuti, Mpambanaji na Mtetezi wao (sasa Marehemu baada ya Kufa ghafla tu ) waweze Kusitisha hiki wanachotaka Kukifanya au hata wasije Kukifanya tena kwa Siku za baadae.
 
Back
Top Bottom