huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,519
- 1,462
Habari wanajamvi...
Nini kinaendelea huko Bungeni?
Mwenye updates please...
Nini kinaendelea huko Bungeni?
Mwenye updates please...
BUNGE LA BADGET
Ungeweza kuandika budget au bajeti
Mkuu unakimbizana na quota ya kuanzisha threads au....
Hahahahahahahaha kwann mkuu
Yaani umekuja fasta fasta hatukuelewi hadi tunajiuliza huko kwenu vipi ....