Hilo jina LA bakari umelitoa wapmimi ni Mchina wa kweli. sasa najifunza Kiswahili chuoni
Hujawahi kula Papa mzee dahTamuSalam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
mwalimu wetu ameniita namna hii, nalipenda jina hiliHilo jina LA bakari umelitoa wap
Vizuri, huku kwetu hayo majina ya Bakari nmwalimu wetu ameniita namna hii, nalipenda jina hili
Kihalua.Salam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
sato ndio smaki mtamu kuliko woteSalam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
huyu leo ndio ninamsikia itabidi nikagoogle nimeone anafanana vipiKihalua.
Kwa sato nakuunga mkono mkuu nawapenda hata mimisato ndio smaki mtamu kuliko wote
Huyu nilimuonja mwaka 2017 sema sikumuelewa sanaHujawahi kula Papa mzee dahTamu
Hapo kwa kibua aisee daah namshindwa sijui mpishi hajui kumpika? Sijaelewa ingawa nimemnunua karibu mara tatu.Kibua
Inawezekana mkuu nimejaribu kununua hawa samaki wa aina kadhaa nijue ladha zao wengine wako poa sana hata chukuchuku tu.Samaki woote watamu inategemea maandalizi yake tu.
Anapatikana wapi ?Usipa
Mkaange tu inatosha Kama hupendi wa kuunga. Mtamu balaaHapo kwa kibua aisee daah namshindwa sijui mpishi hajui kumpika? Sijaelewa ingawa nimemnunua karibu mara tatu.
KamongoSalam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Anapatikana wapi ?
Ziwa NyasaAnapatikana wapi ?
Yule sio nguru mkuu. Anaitwa nduaro. Humpati km huna kuanzia laki 5 kiasi.Nguru yule aliyewekwa kwenye sarafu ya senti tano