mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,993
Usipa
Sawa.Ungetuwekea picha tu maana mimi nawafahamu kwa sura ila majina mmhhhh.
Uko serious mkuu!? Huyo si jamii ya mjusi?Kenge
Nimependa jitihada zako.mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University najifunza Kiswahili katika chuo hiki. ni bora nitembelee JF kupata maendeleo makubwa katika lugha hii
Huwa nasikia mgebuka ni mtamu sanaa. Sijawahi kumla nitamuonja siku moja nione.
Ila mgebuka wanasema wenyewe watu wa Kigoma upate yule fresh aliyetoka kwenye maji siyo samaki aliyekaa kwenye mafriji wiki
shukuraniNimependa jitihada zako.
Salam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Jodari nomaKiufupo hakuna samaki mchungu, wpte ni watam, ila ladha ipo kwa mlaji.
Jodari
Sehewa
Mzia
Changu
Sangara
Kibua
Sato
Migebuka
Dagaa wote
bakari china unazinguashukrani mkuu
utamvuruga mchina mzeeChura wa chakula ndio yukoje. Me najua chura, chura tu. Hasa hawa wa nchi kavu.
Hiyo harufu sasa!! Omera hatari.Kamongo wa kukaushwa juani. Ahahahaaaa
Wewe hujui chakula bhuaanaHiyo harufu sasa!! Omera hatari.
Hahaha mmhmmhu!!!Wewe hujui chakula bhuaana
Kamongo ashinda nyama(alisikika mluo mmoja akisema)Salam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________