Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
4,483
Points
2,000
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
4,483 2,000
Bila shaka upo sawa kabisa mkuu nimeonja samaki kadhaa wa baharini hawajanibariki kivile.....ingawa kiafya wataalam wanashauri ulaji wa samaki hao sijui kwa nini.
Kwa sisi runaoishi pwani samaki wa bahari ndio tunaona wenye ladha tamu kabisa.
Mie nilisifiwa sato lkn siku nilomla sijampenda hata kdg.
Na uzuri wa bahari sasa, mnapatikana aina nyingi sana ya samaki wenye ladha nzuri nzuri.
King fish mwenyewe. Huyu anafiti katika kila mapishi.
Changu.
Tasi.
Songoro.
Nduaro.
Kibua.
Dagaa.
Mzia.
Pweza.
Ngisi.
Kamba.
Lobsters. Na wengi wengiiii
 

Forum statistics

Threads 1,334,520
Members 512,012
Posts 32,478,950
Top