Tujuzane hili waungwana kwa anayefahamu

MCHARANGO JM

Member
Dec 30, 2018
44
11
Wanajukwaa naomba tujuzane ili kwa anayefahamu kuna izi PC sina akika kama ni za kisasa au vipi

Zenyewe ni za chrome.

yaan kama ni hp basi HP chrome au lenovo chrome.

Inasemekana ukitaka kufanya window installation ni lazima ufanye ukiwa online na hata designer ya window yake ni tofauti na tuliyoizoea na ukiweka ya kawaida basi kunakuwa na posibility kubwa ya cursor kutoonekana na ata sauti pia hakuna.

Hizi PC hazina hard disc uwa zina internal ya ukubwa wa GB 14 adi 16.

Sasa dhamira ni kuona kama kuna mwanajukwaa yeyote ambaye yuko familiar na izi pc atupe muongozo wa namna ya kufanya window installation.
 
Hizo zinaitwa chrome book. ni computer ipo designed na Chrome OS ya Google. mm ninachojua ni haisupport windows sijui kama kuna watukutu
 
Back
Top Bottom