Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Wewe unatumia nini?
Namuunga mkono mdau mmoja pale juu amesema sabuni ya jamaa na maji ya chumvi

Mimi sijafika maisha yako ya kutumia perfume za bei kalii..
Huwa natumia body sprays+splash.
Na huwa nachanganya, sometimes inatokea harufu nzuri mno.

Sprays zangu pendwa mara nyingi ni knowledge, chastity(zote mbili),Dolby,na NYINGINE nyingi nimezisahau majina.
Splashs ndio nyingi zaidi i.e secret of Lady, Sweet,za vanilla.

Nikikosa hizo sprays basi natumia yoyote tu kama Galaxy na adorable.

Kutokana na tatizo langu la kiafya(nina nasal polyps),, specialist wangu alishauri niache kabisa!ama nijikite kwenye nivea dry impact,na ndiyo ninayotumia Sasa.
Kuacha kabisa ni ngumu.

Huwa natumia pia udi na manukato fulani ya kiislamu,huuzwa msikitini..majina yake sijayakariri...

Kwa ushauri wa mambo ya perfumes muone Kiranga .
Huyu mtu ,kwa perfumes alizonazo,nadhani anajua aina tofauti tofauti ya harufu za perfumes.
 
Namuunga mkono mdau mmoja pale juu amesema sabuni ya jamaa na maji ya chumvi

Mimi sijafika maisha yako ya kutumia perfume za bei kalii..
Huwa natumia body sprays+splash.
Na huwa nachanganya, sometimes inatokea harufu nzuri mno.

Sprays zangu pendwa mara nyingi ni knowledge, chastity(zote mbili),Dolby,na NYINGINE nyingi nimezisahau majina.
Splashs ndio nyingi zaidi i.e secret of Lady, Sweet,za vanilla.

Nikikosa hizo sprays basi natumia yoyote tu kama Galaxy na adorable.

Kutokana na tatizo langu la kiafya(nina nasal polyps),, specialist wangu alishauri niache kanisa!ama nijikite kwenye nivea dry impact,na ndiyo ninayotumia Sasa.
Kuacha kabisa ni ngumu.

Huwa natumia pia udi na manukato fulani ya kiislamu,huuzwa msikitini..majina yake sijayakariri...

Kwa ushauri wa mambo ya perfumes muone Kiranga .
Huyu mtu ,kwa perfumes alizonazo,nadhani anajua aina tofauti tofauti ya harufu za perfumes.

Adorable huwa kazurii
 
Mimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
Angalia hapo hiyo VANITAS ni https://www.perfume.com/versace/vanitas/women-perfume
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom