Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

IMG_4907.jpg

It smells so good
 
..natumia hizo hapo chini.

..kwa cologne napuliza kidogo kwenye mabega ya undershirt.

..pia zamani niliwahi kutumia paco rabanne, fahrenheit, na kouros.

..siri ya kunukia vizuri inaanza na KUOGA vizuri.





1613339761109.png


1613339868136.png
 
Zote nilizozitaja nimeshazitumia kwa nyakati tofauti na zipo makini sana vile harufu zake hazina makelele...

Kenneth Cole na Calvin Klein Euphoria for men, hizi ndio zaishia ishia...

Sasa hivi nimehamia kwa Zara Vibrant Leather (hii inanukia kama Creed Aventus sikuwa na mpunga wa kuafford Creed) na Zara Night Pour Homme II Sport Zara




View attachment 1696025
Hizo products za ZARA nitazipata wapi na kwa bei gani kwa hapa bongo?
 
Back
Top Bottom