Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hatari sanaa huu unyama natamna mjini
IMG-20201016-WA0021.jpg
 
Tuzungumze ukweli jamani kwa sisi wa kipato cha kawaida kutoa malaki kununua perfume inataka ukaze sana roho.

Kama wewe ni mpenzi wa brand perfumes lkn kipato hakiruhusu unaweza kupata clone zake kwa harufu ile ile kwa bei ya chini na inalast 4 hrs hadi 7 kutegemea na mizunguko yako.

Kwa waluopo dar wanaweza kupita kwa wasyria wanauza perfume brand but kwenye chupa nyingine kwa elf 30 hadi 50 lakini ni quality nzuri utakuja kunishkuru baadae.


View attachment 1566915

Chupa yao inakuwa hivi
View attachment 1566916
75ml
Wanapatikana wapi au ni kipindi cha maonesho Tu?
 
Nilikuwa natumia cologne za Diamond ila kwa sasa nimeacha. Jamani Diamond inabidi akamatwe na kushitakiwa kwani ile cologne yake ilikuwa kila nikitumia napatwa na ukurutu nakuwa kama vile mgonjwa ukoma au mtu anayejichubua.
 
Nilikuwa natumia cologne za Diamond ila kwa sasa nimeacha. Jamani Diamond inabidi akamatwe na kushitakiwa kwani ile cologne yake ilikuwa kila nikitumia napatwa na ukurutu nakuwa kama vile mgonjwa ukoma au mtu anayejichubua.
Perfume inaletaje ukurutu?

Wewe ni mchafu tu.
 
Poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Ninaomba msaada wenu wa mawazo kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.

Moja: napenda kufahamu kwanza tofauti kati ya BODY SPRAY, PERFUME, DEODORAT.

Kwa mkutadha huo napenda mnifahamishe nitumie kipi kati ya kimojawapo hapo juu.

Tatu: Ili ujue namna gani ya kunisaidaia hapo juu labda niwaelezee kidogo matamanio yangu, binafsi napenda kunukia ila sio kwa kumkela mtu, napenda nikipishana na mtu aisikie harusu nzuri kutoka kwangu, iwe ya body spary au perfume au hata hio deodorat.

Basi kulingana na maelezo hayo nimeona niombe msaada kwenu kwa yeyeto anafahamu vizuri kuhusu hivyo vitu na ningependa sana kama ningepata msaada wa.

1. Aina gani nitumie(body spray, perfume au deodoart)
2. Kati ya hizo tatu hapo juu category ipi ni nzuri, na aina ipi ni nzuri. Mfano perfume lets say blue for men,
3. Je, naweza kuipata wapi? Muuzaji anaeaminika. Hli hasa ndo lengo halis lililonifanya nilete hii mada kwenu, siku hizi wauzaji wa perfume wamekuwa wengi mno kiasi kwamba nimejikuta nanunua perfume lkn haidumu 72hrs kama wanavyokuwa wanapromote kwenye matangazo yao, wameshindwa kuwa wawazi kwenye biashara zao, nimeona nije humu naamini nitapata maaada zaidi. Bajeti yangu mwisho ni Tsh 40,000/=
 
Mkuu humu kuna uzi unaohusu hiyo habari na ilipata wachambuzi wengi kweli kweli utafufute sijui unaitwaje ngoja niutafute hata mimi nilikuwa ninashida iyo nikapata kuanza kununua blue for men perfume nachanganya na spray balaaa lake mungu anajua.
 
Bora spray hiyo deodorant inaziba vitundu vya jasho lisiweze kutoa jasho na madhara yake ni makubwa.
 
Back
Top Bottom