Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Nitaleta Review yangu kwa hizi clone mbili za bongo nikipata mda..

Ukikutana nazo nunua wala usijali...

Zote ni clone za creed aventus..

20200201_095209.jpeg
20200116_084448.jpeg
20200116_084647.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari

Naomba kuuliza perfumes gani nzuri za kiume, ambazo zinanukia vizuri na kukuacha ukinukia kwa mda mrefu?

Asanteni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom