Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 713
- 1,181
Blue de channel
Club de nuit ni copy ya creed? Au scent unamaanisha nini mkuu?
Hiyo perfume nimesikia wengi wakiisifu.
Mkuu hii copy naipata wap?dsm
Inaitwaje Mkuu?Mimi natumia perfume ya buku 5 tu lkn kila nikipita karibu na mwanamke anachanganyikiwa!
Tayari nimeshang'oa watoto wawili!
N.B,ukubwa wa bei ya perfume haimaanisha ndio harufu nzuri
Mkuu naweza kuona picha ya icho kichupa chake? Kuna chimbo nimepata sehemu nataka niprove kama ndo yenyeweInvictus,...the best .niliwai nunua mara ya kwanza hii somwea huko emirate 40$..nkaja ikuta mcity huku inauzwa 360k
Last year nkamkuta mdada wa kiarab mcity ndan pale new shop anauza 50k fake lakin za re fill kachupa ka 20ml i think
Na hapo hapo opposite duka wanauza original 360k ..ila nilishangaa kwamba haruf ni ile ile,tena ile fake ndo ilikua ina last
I said thank G...
This is the world we live in.
Icho apoMkuu naweza kuona picha ya icho kichupa chake? Kuna chimbo nimepata sehemu nataka niprove kama ndo yenyewe
Mkuu hii product unaifahamu?
Naifahamu.Ipo mliman wanauza kwa Code ni clone hizo sema nimeona udhaifu kwenye longitivityMkuu hii product unaifahamu?View attachment 1249068
Naona perfume zote uku wadau wanazosema za bei ghali zipo ila wamewela code zake, upo sahihi kabisa mkuu, nilihitaji kujua ubora wake ukilinganisha na originalNaifahamu.Ipo mliman wanauza kwa Code ni clone hizo sema nimeona udhaifu kwenye longitivity
Chukua 4A.Ila ni nzuri kuanzi 6+ drops zinaweza kaa 6hrsNaona perfume zote uku wadau wanazosema za bei ghali zipo ila wamewela code zake, upo sahihi kabisa mkuu, nilihitaji kujua ubora wake ukilinganisha na original
Anaejua wapi nitapata hii VIP smart collection body spray anipe taarifaView attachment 1226811
Body spray.legend na mix smart black hapo nikisimama nawewe hutatamani niondoke
mkuu mi sipo dar nipo far saana na dar.Smart black naweza kupata wapi kwa Dar
Anaejua wapi nitapata hii VIP smart collection body spray anipe taarifaView attachment 1226811