Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mimi huwaga na mix tatu kwa pamoja.... Moja ni DARK FEVER, BLUE DE CHANNEL na kile kipafyum kidogo SANSIRO vile kama vipeni....ukitoka hapo brother ....arafu unapulizia kwenye maeneo ya shingoo na mikononi....kwenye shati kidogoo
 
Atakaetumia hii kitu hawezi juta, Only 30k.
zanzibarcosmetics-1569128468681.jpeg
 
Naweza sema Ni Copy/Colognes...ipo POA Mnooo...Credits zake Ni nyingi sana Sikufichi...Na harufu yake inakaaa kwa kweeli ...kwa hapa Dar niliona pale Dar Free Market kwa Hawa Jamaa

Club de nuit ni copy ya creed? Au scent unamaanisha nini mkuu?
Hiyo perfume nimesikia wengi wakiisifu.
 
Invictus,...the best .niliwai nunua mara ya kwanza hii somwea huko emirate 40$..nkaja ikuta mcity huku inauzwa 360k

Last year nkamkuta mdada wa kiarab mcity ndan pale new shop anauza 50k fake lakin za re fill kachupa ka 20ml i think

Na hapo hapo opposite duka wanauza original 360k ..ila nilishangaa kwamba haruf ni ile ile,tena ile fake ndo ilikua ina last

I said thank G...
This is the world we live in.
Mkuu naweza kuona picha ya icho kichupa chake? Kuna chimbo nimepata sehemu nataka niprove kama ndo yenyewe
 
Naifahamu.Ipo mliman wanauza kwa Code ni clone hizo sema nimeona udhaifu kwenye longitivity
Naona perfume zote uku wadau wanazosema za bei ghali zipo ila wamewela code zake, upo sahihi kabisa mkuu, nilihitaji kujua ubora wake ukilinganisha na original
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom