Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Jina ya hiyo perfume? Naitaka hiyo
Hii hapa mkuu.Ila na fake pia zipo
Nuit.jpeg
 
Attachments

  • 20190812_031808.jpeg
    20190812_031808.jpeg
    24.1 KB · Views: 59
Invictus,...the best .niliwai nunua mara ya kwanza hii somwea huko emirate 40$..nkaja ikuta mcity huku inauzwa 360k

Last year nkamkuta mdada wa kiarab mcity ndan pale new shop anauza 50k fake lakin za re fill kachupa ka 20ml i think

Na hapo hapo opposite duka wanauza original 360k ..ila nilishangaa kwamba haruf ni ile ile,tena ile fake ndo ilikua ina last

I said thank G...
This is the world we live in.
 
Aisee INVICTUS ni moto...

Niliwahi knunua kachupa kakurefill 20mls kwa elf 15 sa cjui km ilkua feki yenyewe...Bado haruf yake ilikua inadumu sana

Washkaji waliiulzia sana wakiickia scent yake
 
Mimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
COCO BY CHANEL
My favourite
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom