Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
Ahsantee kwako piaHappy New Year
Mkuu bei gani hiyo?Jamani hii AL FARIS ni ya bei rahisi lakini hutojutia kutumia hata kidogo... Yaani iko bomba mpaka maswali ya "inaitwaje hiyo" yanakuzidi kimo... Jaribuni hiyo kitu
DE LA BOSS by HAJI MANARAView attachment 360643
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?
Niliwahi tumia ila sikuipenda, kopo lake Ni la bati, ingawa Kuna demu wangu alikuwa anaikubakubali sanaDark fever ni mwisho wa maongezi
Ndio ninayotumia boss...jaribu ku Google huone gharama yakeTomford
It's the best for the Gentlemen.
Iyo Joop! ni how much na inapatikana wapi?
Hii kitu nlitumia mwaka juzi, ila sasa nataka kuirudia,,, hamna toleo jipya,,View attachment 360643
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?
Mkuu VITU nilivibeba NAPOLI,, euro kama 40 hivi. Ila kwa hapa utapata mlimani city KWA 250000..shilings,,,kutegemea na UJAZO WAKE...Iyo Joop! ni how much na inapatikana wapi?
Poa mkuu ntaenda kuichek apo Mlimani CityMkuu VITU nilivibeba NAPOLI,, euro kama 40 hivi. Ila kwa hapa utapata mlimani city KWA 250000..shilings,,,kutegemea na UJAZO WAKE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu "inaendaje" hii? I mean price!invictus by paco rabanne is my scent of all time !
Sent from my iPhone using JamiiForums