Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

MREJESHO:

Baada ya kupokea maoni ya baharia bway hermit na Sir_Mimi nilitafuta shilingi 30,000 nikadandia gari ya Kariakoo mpaka pale Msimbazi.

Nikanunua Blue for Men (perfume) bei yake 20,000. Nikaamua nichukue na spray yake 5,000.
Buku tano ilobaki nikaamua nichukue spray ya Fighting Temptation.

IMG_20200807_170742_0.jpg

Kweli nimezikubali mazee. Ziko vizuri. Hazikeri. Hazikereketi wala kuwapa watu mafua.

Changamoto:
Mbona sioni mademu wakinishobokea!
 
View attachment 1529976

Zipo perfume maalumu ambazo zinachemical iitwayo pheromones ambayo mwanamke akiisikia basi mwili wake unasisimka na anapata hisia za mapenzi.ila zna bei, pia kuna zngne zna harufu tamu sana utasifiwe sana na kla mtu hasa wadada hvo kama ni mzee wa totoz that is your starting point.
 
Unazijua?
Nitajie majina na bei zake. Chache tu
 
Tafuta moja tu kati ya hz then litakalokupata iwe ni siri yako, hyo creed aventus bei ya chini ni tsh 900,000/=
 
Attachments

  • 2046373_51351C8B-AD45-4C63-BE4A-AB0AE62C6FD9-1925-0000007270BE4B08.jpg
    2046373_51351C8B-AD45-4C63-BE4A-AB0AE62C6FD9-1925-0000007270BE4B08.jpg
    12.4 KB · Views: 30
  • 375x500.12863.jpg
    375x500.12863.jpg
    8.8 KB · Views: 31
  • 2272579_Screenshot_20200114-180542.png
    2272579_Screenshot_20200114-180542.png
    51.3 KB · Views: 30
  • 1501403_24_1.jpg
    1501403_24_1.jpg
    16.8 KB · Views: 30
  • 2015412_images339.jpeg
    2015412_images339.jpeg
    12.1 KB · Views: 32
Unazijua?
Nitajie majina na bei zake. Chache tu
Bei inategemea na mfuko wako ww niambie uwezo wako nitakutajia perfume nzuri.
Utagonga sana watoto, mm sitongozag ni usmart tu nakunukia nikiomba namba sinyimwi, juzi nimegonga mmaza mmoja hv alianza kunishobokea cjui unafanya kaz wap nikamwambia mission town tu akasema hapana kla sku uko smart na unanukia vizur mm napenda wanaume kama ww kilichofuata ni kutafunwa,hapa ninapoishi ni wengi ila cpend kuwa na wanawake ninapofanyia kazi na mazingira ya kitaani kwetu coz cpend vurugu
 
Creed 900,000 - 1000,000; cool water by David off 130,000/=, givenchy gentleman 290,000/=, club de nuit intense man 200,000/= zifuatazo zna range kuanzia 350,000- 480,000/= paron poivre, Fahrenheit, pacific rock moss by goldfield and banks, Percival,Pegasus,Layton na darley hz zote zimetengenezwa na perfume de Marley ambae anakimbiza soko la perfume hv sasa, blessed baraka by initio parfums zko nyingi sana hata mia zinafika
 
MREJESHO:

Baada ya kupokea maoni ya baharia bway hermit na Sir_Mimi nilitafuta shilingi 30,000 nikadandia gari ya Kariakoo mpaka pale Msimbazi.

Nikanunua Blue for Men (perfume) bei yake 20,000. Nikaamua nichukue na spray yake 5,000.
Buku tano ilobaki nikaamua nichukue spray ya Fighting Temptation.

View attachment 1529976

Kweli nimezikubali mazee. Ziko vizuri. Hazikeri. Hazikereketi wala kuwapa watu mafua.

Changamoto:
Mbona sioni mademu wakinishobokea!
Mkuu pale msimbazi unaweza ukanielekeza ni duka gani.naona maduka mengi wanauza 25000
 
Bei inategemea na mfuko wako ww niambie uwezo wako nitakutajia perfume nzuri.
Utagonga sana watoto, mm sitongozag ni usmart tu nakunukia nikiomba namba sinyimwi, juzi nimegonga mmaza mmoja hv alianza kunishobokea cjui unafanya kaz wap nikamwambia mission town tu akasema hapana kla sku uko smart na unanukia vizur mm napenda wanaume kama ww kilichofuata ni kutafunwa,hapa ninapoishi ni wengi ila cpend kuwa na wanawake ninapofanyia kazi na mazingira ya kitaani kwetu coz cpend vurugu
Mkuuu ulikula jokingly
 
Mkuu pale msimbazi unaweza ukanielekeza ni duka gani.naona maduka mengi wanauza 25000

Kituo cha polisi Msimbazi unavuka upande wa pili (unavuka barabara ya mwendokasi)
Yale maduka ya vipodozi yaliyopembeni na kituo cha mwendokasi hapo hapo.
 
Creed 900,000 - 1000,000; cool water by David off 130,000/=, givenchy gentleman 290,000/=, club de nuit intense man 200,000/= zifuatazo zna range kuanzia 350,000- 480,000/= paron poivre, Fahrenheit, pacific rock moss by goldfield and banks, Percival,Pegasus,Layton na darley hz zote zimetengenezwa na perfume de Marley ambae anakimbiza soko la perfume hv sasa, blessed baraka by initio parfums zko nyingi sana hata mia zinafika

Kama bei ndio hizo, acha niendelee kukimbiwa na mademu.
Angalau hiyo Cool Water ya 130,000 naweza jitutumua!
 
Cool water ina harufu tamu sana inaweza kukaa kwenye nguo wiki nzima ukifua nguo ukapiga pasi inarudi, kuna hot water na adventure zote za David off zitest mkuu usijali bei mkuu
 
Attachments

  • 2015413_images340.jpeg
    2015413_images340.jpeg
    18.4 KB · Views: 39
Hujatupa bei ya Sauvage.
Dior sauvage 368,000/=, pheromones 310,000/=, one million ya paco rabane 150,000/=, blue de channel 350,000/=, channel no5 300,000/=,ultramale ya jean Paul gaultier 100,000/=, Salvatore ferragarno120,000/=,lacoste noir intense 190,000/= I cannot count how many times I have been stopped and asked what iam wearing(smelling), been told I smelled like heaven siku hyo nilipulizia perfume inayoitwa stronger with you ya emporio armani yaani you smell sexy,mascular, fresh and sweet, niliinunua napoli mwaka jana kama Euro 160, nilipokuja padre mmoja hv akaing'ang'ania nikamwachie, kuna perfume ambazo hata ulaya ni expensive mf creed aventus
 
Back
Top Bottom