1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,326
- 12,691
Ila mbona kama sio OG vile... No disrespectUltramale by Jean Paul Gaultier..Noma na nusu
Ipe nguvu hoja yako..what the difference?Ila mbona kama sio OG vile... No disrespect
Ultra male (Jean Paul Gaultier za kiume almost zote) huwa zina ka ring flani chini ya sprayer, halafu hii sprayer yake kama ina glow sana wakati usually huwa ni dark silver flaniIpe nguvu hoja yako..what the difference?
Hii perfume ni kama "Vintage le male" kwa bei isiyoumiza. Nilikua ninaitumia sana kipindi flanibondage
yaah ipo poaaHii perfume ni kama "Vintage le male" kwa bei isiyoumiza. Nilikua ninaitumia sana kipindi flani
Hii kitu nimeanza kuitumia juzi baada ya kuona wajuba wameipromoti Sana...mpaka Sasa ni Vita kitaa wadau wanataka kujua mnyama nnaemtumia..wadada ndo acha kabisaaaBlue for MEN inauzwa 25K
Nakubali...na nimeanza kutumia juzi nimeona Vita ya wanawake inaweza kuanza mda wowote...Tumia blue for men kama ni mdau wa mademu.. Namba zinakuja zenyewe umekaa.
Inaendaje hiyo boss?
HahaaaSasa mkuu hata jina hakuna utaitafutia wapi....au shazam
Bei gani? TuttyKama una manzi mnunulie hii. I think it's the best perfum out there.
Bei mkubwa?
Ulinunua wapi na kwa bei gani maana mengi ni fekelo (fake)Hii kitu nimeanza kuitumia juzi baada ya kuona wajuba wameipromoti Sana...mpaka Sasa ni Vita kitaa wadau wanataka kujua mnyama nnaemtumia..wadada ndo acha kabisaaa
Ulinunua wapi na kwa bei gani maana mengi ni fekelo (fake)