Tujuzane aina ya perfume/body spray unayotumia


Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,027
Likes
18,141
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,027 18,141 280
Leo ni mwendo wa Burberry for men, nimeanza na aftershave, halafu nikai layer na cologne.

 
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
17,741
Likes
62,428
Points
280
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
17,741 62,428 280
Sh ngap
Jamani hii AL FARIS ni ya bei rahisi lakini hutojutia kutumia hata kidogo... Yaani iko bomba mpaka maswali ya "inaitwaje hiyo" yanakuzidi kimo... Jaribuni hiyo kitu
Sent from my SM-C7000 using Tapatalk
 
Msaki Janice

Msaki Janice

New Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
Msaki Janice

Msaki Janice

New Member
Joined Aug 28, 2018
1 0 3
:)mi hasa napendelea perfume ya Victoria's secret aina ya temptation ni nzuri sana ila ni splash
 
Zee la Nyeti

Zee la Nyeti

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2014
Messages
676
Likes
324
Points
80
Zee la Nyeti

Zee la Nyeti

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2014
676 324 80
Embu nijuzeni kwanza nini maana ya ""Eau de perfume" na "Eau de toillete'
KINGINE NIJUZENI AINA ZA PERFUME AMBAZO ZINA ALCOHOL NDOGO AMBAZO NI SUITABLE KWA YULE AMBAE HAPENDI PERFUME KALI..
Eau de Toilette or Eau de Parfum? The difference lies in the volume of perfume oil. While Eau de Toilette contains 5-9%, Eau de Parfum contains more, usually 8-14%. Eau de Parfums therefore last longer and smell more intense.
 

Forum statistics

Threads 1,262,348
Members 485,558
Posts 30,120,860