Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kwa wale wenzangu na mimi tusioweza kununua maparfume ya bei ghali..., aaah mimi natumia kibody spray kangu ka sh. 16,000/= ilivyo ya ukwel sasa hv hadi jasho langu linanukia hii spray bila hata kujipulizia kwa cku 1.

ACTIVELLE

7af7c98988addd8820a38b533422b03d.jpg
 
Wadau leo nimeagiza mtu hapo mlimani city.amekutana kuna clone za fragrances zenye majina makubwa wanauza kwa code.je kuna mtu amekutana na hii.nimeagiza clone ya aventus nione kama itakua na performance nzuri.ila kama umewai tumia hebu nipen mrejesho wake
IMG_20170508_185840.jpg
HII NDO LIST YA HIZO CLONE KATIKA CODE
IMG-20170508-WA0013.jpg
CHUPA YENYE JUICE YA AVENTUS(CLONE) code 4A
 
Wadau leo nimeagiza mtu hapo mlimani city.amekutana kuna clone za fragrances zenye majina makubwa wanauza kwa code.je kuna mtu amekutana na hii.nimeagiza clone ya aventus nione kama itakua na performance nzuri.ila kama umewai tumia hebu nipen mrejesho wakeView attachment 506367HII NDO LIST YA HIZO CLONE KATIKA CODEView attachment 506369CHUPA YENYE JUICE YA AVENTUS(CLONE) code 4A
Duuh... Jamaa hawapo serious, orodha ina typos kibao.
Clone nzuri ya Aventus so far ni Club de nuit intense man ya kampuni la Armaf. Unfortunately kwa bongo wauzaji hawapo (mpaka naanza kuwaza nianze hii business).
Armaf wapo France lakini pia wapo Dubai. Juices zao quality yake ni SUPERB!! Ukipata mtu anayeenda Dubai muagizie tu, hutojutia.
 
Duuh... Jamaa hawapo serious, orodha ina typos kibao.
Clone nzuri ya Aventus so far ni Club de nuit intense man ya kampuni la Armaf. Unfortunately kwa bongo wauzaji hawapo (mpaka naanza kuwaza nianze hii business).
Armaf wapo France lakini pia wapo Dubai. Juices zao quality yake ni SUPERB!! Ukipata mtu anayeenda Dubai muagizie tu, hutojutia.
Club nuit intense man by armaf nimeshaitumia.aventus sijawai kuitumia.hii sample ya hawa majamaa nimeagiza kesho itafika.so nataka nione kama inakaribiana na club nuit.then nitaleta mrejesho
 
Mrejesho wa bada ya clone ya creed aventus kufika leo.kwa kuwa nimeshawai kutumia clone no 1 ya aventus pendekezwa ambayo club nuit intense man bya armaf.hii clone ya kibongo bongo hainafanan kabisa na bidhaa waliyocopy.kwa mbaal sana inafanana na UDV.performance ni mbovu kabisa haifikish masaa mawil kwenye nguo.kwa ushauri wangu usipoteze pesa yako hapa
IMG_20170511_213318.jpg
 
Thanks kwa mrejesho mkuu. I hope haijakutoka pesa mingi
Mrejesho wa bada ya clone ya creed aventus kufika leo.kwa kuwa nimeshawai kutumia clone no 1 ya aventus pendekezwa ambayo club nuit intense man bya armaf.hii clone ya kibongo bongo hainafanan kabisa na bidhaa waliyocopy.kwa mbaal sana inafanana na UDV.performance ni mbovu kabisa haifikish masaa mawil kwenye nguo.kwa ushauri wangu usipoteze pesa yako hapaView attachment 507962
 
nahitaji perfume ambayo iko chini ya 50K ambayo ukikutana na mtu anasikia tu ubaridi fulani hiv ila ukishampita ndio anasikilizia harufu yake..MSAADA PLZ
Mkuu tafuta body sprays za smart. Wame mimic perfumes zenye majina makubwa na prices zake, last I checked, ni chini ya mwekundu.
 
ninukie ili iwejeee? mimi nina matumizi mazuri ya pesaaa sitaki ujinga ujinga kama uo....RIGHT?
Matumizi ya pesa inategemea na kipato chako na majukumu.ila umaridadi uficha mengi.
Mfano mimi nilikua natumia body spray ya buku 5 kwa mwez.ambapo ukipiga hesabu kwa mwaka ni kama elfu 60.je kuna ubaya gan nkinunua perfume ambayo iko classic ambayo naweza tumia mwaka mzima.

Yaan mfano umepanga nyumba ni bora ulipe kila mwez ama ulipe miez sita ama mwaka
 
Back
Top Bottom