Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hapo chief tunakaribiana 2,4 spice bom(nakutumia juice ya bvlgari men in black)6,7,10 na badala ya aventus nagonga juice ya club nuit intense mView attachment 497776View attachment 497777an by armafView attachment 497775kuna mitandao kichomi hawatumi africa.nayo ni changamoto.wacha tunukie

Nhii nichangamoto sna kutokutuma Africa,nnajamaa yupo us alitaka tufanye hii biashara ya macologne nikaogopa wanunuzi wa hzi vitu kama wachache ila huu uzi umenishawish aise
 
Nhii nichangamoto sna kutokutuma Africa,nnajamaa yupo us alitaka tufanye hii biashara ya macologne nikaogopa wanunuzi wa hzi vitu kama wachache ila huu uzi umenishawish aise
Kama bei ni reasonable kwann tusinunue Wakati mateja wa haya madude tupo wengi
 
Wengi naona mnatumia Eau de toilette badala ya Eau de perfume ndo kusema uchumi umebana au hamjui vitu vizuri
Za wanaume nyingi ni eau de toilette. Za wanawake nyingi ndio eau de perfum ndio maana ziko strong zaidi. Eau de perfum za kiume ni chache sana.
 
Kama kichwa uko smart,mfuko uko smart,mavazi smart basi hii kitu inakufaa ni harufu ya gharama.ukitimba shoo za kibabe.bro wanakomaView attachment 490216dizain kama nawatangazia biashara halafu hawanilipi.
Ila ni moja kati ya harufu za kibabe sana sitanii.
Ukiipata nitafute unipe thanks

Addicted
Hii ni Thierry Mugler Angel Men (A*Men). Originally ilikua designed mwaka 96 kama sikosei ila wametoa flankers kadhaa baada yake ikiwemo pure malt, pure havane (zote ninazo) etc.

Ila hizi perfumes ni special kwa maeneo yenye baridi mkuu. Kwa joto la bongo zipo cloying kinoma aisee so binafsi sishauri mtu anunue hizi.

Pefrume za Thierry Mugler za kutafuta kwa joto letu hili ni Mugler Cologne, Ultra zest na Krypomint(imetoka juzi juzi nadhani). Ila TM zilizobaki zote ni za winter kali.
 
Nakubali mkuu.lakin kibongobongo single spray nadunda kibabe na napata compliment za maana.hii kitu iko very sweet.ukitumia vibaya ni karaha
 
Nakubali mkuu.lakin kibongobongo single spray nadunda kibabe na napata compliment za maana.hii kitu iko very sweet.ukitumia vibaya ni karaha
Hahaah! Hapo umetisha mkuu. So true, uki over-spray inakua tabu. Nitajaribu technique yako
 
aa30cac492e6e9a3d7cd01d02de84f43.jpg
6c18f35f164ab8c6d95ac5711d7bb3c4.jpg
3befee2a8f396f9c724491f111ef499f.jpg
9c83786b08340878ae09724dbe314f33.jpg
611d7552844fdfd89113bfcc60225be3.jpg

Mzigo wangu kwa sasa huo ila hiyo SKINN by Titan Steele ina harufu kama BVLGARI Man in Black.
 
Kama bei ni reasonable kwann tusinunue Wakati mateja wa haya madude tupo wengi
Kiongozi huku kwetu wanatupiga bei sana maana nimemuagizia jamaa sauvage dior bei za wenzetu ni nzur sna tofauti na kwetu
Kwakweli najipanga nimeongea nae kama vipi tupige biashara
 
Kiongozi huku kwetu wanatupiga bei sana maana nimemuagizia jamaa sauvage dior bei za wenzetu ni nzur sna tofauti na kwetu
Kwakweli najipanga nimeongea nae kama vipi tupige biashara
Mkuu ukifanikiwa kuleta tujuzane
 
download+%282%29.jpg
download+%281%29.jpg

Kwa wale wanaopenda body spray za bei rahisi.hiyo galaxy s3 performance yake iko poa kwenye nguo(sio ngoz) inadumu zaid ya masaa sita(6+)itafute bei yake kati ya buku 5 mpaka buku 7.

To me it's cheap smell
 
nahitaji perfume ambayo iko chini ya 50K ambayo ukikutana na mtu anasikia tu ubaridi fulani hiv ila ukishampita ndio anasikilizia harufu yake..MSAADA PLZ
 
Back
Top Bottom