Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Nna kaharufu fulan amazing kila mahali nikikaa na MTU anauliza ni pafyum gan inanukia vzr hivyo ni simple tu ka body spray kangu ka knowledge na gelly cologne ya lovelia ya floral na kuna kakitu kengine ntamalizia baadae halafu hiyo mixer haiishi kwenye nguo!
 
20170316_190854.jpg
 
Mmmmh
 
Lacoste Live by Lacoste by Lacoste 170000/= ila kuna nyingine nzuri tu Kama 212 For Men by Carolina Herrera,Hugo red by Hugo boss hii nayo ni nzuri,au kama uko na hela nyingi tafuta product za Torm Ford au Giorgio Armani especially Emporio Armani au Aqua Di Gio ni nzuri na nilishazitumia pia.
 
Aqua di gio ina harufu moja amazing sana. Inakuwa harsh saa moja la kwanza ila baada ya hapo utaipenda
 
Mimi natumia spray ya Activelle Extreme Protection 48 na deodorant yake.. Pamoja na perfume ya Love portion ina ml 50 na harufu nzuri inayodumu kwenye nguo masaa 12 na zaidi.

Ukihitaji bidhaa hizi karibu whatsapp kwa biadhara kwa simu namba 0672416294
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom