Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

924d7c394f9b9635dcf0f6ea77a2165a.jpg
royale blue...35000...0626309195
 
Tatizo hizi perfume/spray za kibongo ni clone halafu wanauzia bei za orginal nachukia sana!! Ila ukienda SA unarudi na vitu vya ukweli
Wapo watu wanaleta zenyewe!especial wale wa wajasiria mali wadogo wanaotafuta majina akienda nje anarudi na vya kueleweka au kama una rafiki akisafiri unamuagizia vya kueleweka !mi ndivyo nifanyavyo lakini ukienda kwa hawa ambao somehow wako well established wanatafuta maximum profit hawachelewi kikuingiza cha kike!
 
Wanaume hawasifiwi kunukia , unasifiwa hela . ikibid unukie kama beberu ndio unakua gentleman
Kuwa na mahela halafu mchafu uone kama hujampa demu pesa nae 80%anampa mchepuko kunukia ambaye anapata 90% ya penzi wewe bwana mahela kikwapa kunuka unabaki na 10%ya penzi kwa mwezi!
 
a64393071eb968598af8165b4a0db265.jpg

Dolce & Gabbana the one (eau de parfum), Pure havane (Thierry Mugler), Nautica Voyage, Pure Malt (Thierry Mugler), Club de nuit intense men (Armaf), Moschino uomo, Azzaro Chrome, Mugler cologne (Thierry Mugler), Angel men (Thierry Mugler), Mont Blanc Individuel na Black xs (Paco Robanne). Hope addiction yangu itaishia hapo...
 
Tatizo hizi perfume/spray za kibongo ni clone halafu wanauzia bei za orginal nachukia sana!! Ila ukienda SA unarudi na vitu vya ukweli
Some clones ziko vizuri in terms of performance, silage na hata elongevity kuliko perfumes walizokopi. Clone ni tofauti na fake so nadhani umemaanisha fake instead of clone
 
Clone ina utofaut gani na fake?

Clone ni kwamba kampuni lingine la perfume (ambalo mara nyingi perfumes zake ni bei rahisi) linakopi notes za perfume nyingine (ambazo perfume zake often ni very expensive) ingawa majina na vingine ni tofauti kabisa isipokuwa "juice" yenyewe. Mtu akipulizia clone ni vigumu kwa mtu kutambua whether ni clone au ni perfume ambayo ni expensive.

Armaf (ambao wapo ufaransa na uae) ni mabingwa wa kutengeneza clones hasa za creed (ambazo ni gharama saana, si chini ya laki 3.5, nyingi ni laki 6 kwenda juu) na perfumes nyingine baadhi.

Eg Tres Nuit (Armaf) ni clone ya Creed green irish tweed, Tag him (Armaf) ni clone ya bleu de chanel, Inserectuion pure II na club de nuit intense ni clones za creed aventus and the list goes on...

Ila fake ni kwamba wanakopi jina, chupa boksi n kila kitu kutoka kwa original manufacturers lakini "juice" yenyewe inakua chenga tupu; inakaa muda mfupu, haina silage sometimes hata harufu yake inakua tofauti na original perfumes.

Ni bora mtu kununua clones cos japo ni bei ya chini (kidogo) nyingine zinakua na performance nzuri zaidi ya perfumes walizozikopi au almost sawa ila sio kwa fake.

Clone ni kwamba kampuni lingine la perfume (ambalo mara nyingi perfumes zake ni bei rahisi) linakopi notes za perfume nyingine (ambazo perfume zake often ni very expensive) ingawa majina ni tofauti kabisa, mtu akipilizia clone ni vigumu kwa mtu kutambua whether ni clone au ni perfume ambayo ni expensive.
Armaf (ambao wapo ufaransa na uae) ni mabingwa wa kutengeneza clone za creed (ambazo ni gharama saana, si chini ya laki 3.5, nyingi ni laki 6 kwenda juu).
Eg Tres Nuit (Armaf) ni clone ya Creed green irish tweed, Tag him (Armaf) ni clone ya bleu di chanel
Thanks Chief umenitoa tongotongo.
Swali kidogo nawezaje kuzitambua fake perfume?
 
Thanks Chief umenitoa tongotongo.
Swali kidogo nawezaje kuzitambua fake perfume?
Any time mkuu.

Kutambua feki ni mtihani kidogo, may be kama umewahi kutumia hiyo perfume kabla ambapo unaweza kutambua kwa muonekano wa chupa (fake itakua na quality flani ya chini kidogo) au kama hilo duka wana testers unaweza kuspray kidogo kwenye mkono na kuangalia harufu yake na jinsi inavyobadilika overtime na hivyo kutambua kama top notes na base notes zote zipo sawasawa na original uliyokua ukitumia mara ya kwanza.

Kama haukuwahi kutumia kabla then unaweza kulinganisha bei. Cheki retail prices kwenye mtandao au hata ebay, kama ni fake bei yake itakua ni ya chini kama ni original basi bei yake itakua juu kidogo ya prices za ebay au unazoziona mtandaoni.

Option ya tatu ni kuangalia youtube, kuna reviewers huwa wanaonyesha jinsi ya kutofautisha fake na originals za perfume mbalimbali.
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom