Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Inabidi Ufungue duka la perfume used, itakulipa angalau
Katika maisha yangu yote sijawahi kuuza kitu nilichonunua na sina mpango wa kuanza sasa.

Huo ni uchuuzi.Mimi kituo changu katika maisha si uchuuzi.

Kama kuuza nina vitu vya thamani zaidi lakini sitaki kuviuza.

Kitu kikishapata kuwa cha Kiranga thamani yake inapanda juu sana kiasi hata nikitaka kuuza hakuna atakayeelewa na kumudu kununua.

Yani nikitaka kuuza hata mafuta aliyojipaka Yesu hayatafikia bei hiyo.
 
Nimeipenda hiyo Falsafa yako asee,,
manake inafikia kipindi lazima ujikubali na kujipa thamani cuz usipofanya ivyo hakuna atakayefanya kwaajili yako..
Man basi unaweza toa kama zawadi kwa washkaji tu
 
Nilivyokuja Bongo mara ya mwisho ilikuwa kama Christmas in July.

Nimefika airport nawaambia jamaa haya mabegi yote ni zawadi wakawa hawaamini, wakaona nafanya biashara.

Kinadada walijizolea sana handbags na na perfume, kinakaka saa cologne na nguo.

Vitu vyote vipya, sipeleki zawadi iliyotumika. Ingawa kuna watu walinibana nguo na vitu vingine nikawaachia lakini hiyo ni kwa sababu walitaka wenyewe.

Ni falsafa ya maisha tu.
 
Aisee hiyo imekaa fresh kinoma mshkaji wangu,
Kweli kila kitu ni mipangilio tu,
Lakini sikushauri uvitupe ulivyovitumia,
waswahili wanasema Ganda la Mua la jana Chungu kaona kivuno,
 
Siwezi kutupa.

Hata kama ni kuchanganya tu zote nimtumie Mkemia Magufuli aende kutengenezea kemikali za kutumia kwenye maabara za shule za sekondari imo.

Tutabana matumizi.
 
ImageUploadedByJamiiForums1476043148.635519.jpg

Nilishaonywa nisiitumie maana ni balaa..nilivyojaribu nikajua kwann nilionywa..
 
asanteni kwa kunijuza na mimi nianze kunukia maaana ilikuwa kuoga kila mara siunajua kusoma uboyzini tena like tosaboys ice cool @ raykidd
 
Back
Top Bottom